Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazambia wanukia Yanga SC


Na Hans Mloli
USAJILI unazidi kushika kasi Ligi Kuu Bara ambapo sasa Yanga SC wameamua kuzigeukia klabu za Zambia kwa ajili ya kufanya usajili wa baadhi ya wachezaji wanaowataka. Imeelezwa kuwa Yanga wanatafuta straika mmoja matata kwa ajili ya msimu ujao, hivyo tayari kuna harakati zimeanza kufanyika na mawasiliano yakiendelea kwa ajili ya kunyakua straika mmoja kutoka timu ya Nkana Red Devils aliyowahi kucheza straika wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Ubingwa wanukia Yanga

NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

UBINGWA huoo…! Ndiyo, timu ya Yanga ambayo imeusogelea kwa karibu ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom baada ya kuichapa Mbeya City mabao 3-1 kwenye mchezo uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.

Baada ya ushindi huo, vinara hao wamefikisha pointi 46 na kuzidisha pengo la pointi baina yake na Azam inayomfuatia ambalo limefikia pointi nane.

Yanga iliyotoka kuichapa Coastal Union mabao 8-0, ilianza kwa kasi kubwa mchezo huo na kupata bao dakika tano lililofungwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Yanga wanukia Agosti

Uchaguzi wa Yanga huenda ukafanyika Agosti badalao ya Juni 15, kutokana na Kamati ya Uuchaguzi ya klabu hiyo kulazimika kufuata mwongozo wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). 

 

10 years ago

Michuzi

UBINGWA YANGA WANUKIA, YAONGOZA 2-0 DHIDI YA POLISI MORO

 Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe kuipatia timu yake bao la katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mashabiki wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe. Mshambuliaji Wa Yanga, Simon Msuva akimtoka beki wa Polisi Moro, Hassan Mganga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Shabiki wa Yanga...

 

10 years ago

Michuzi

Ubingwa wanukia kwa Yanga, yaichapa Ruvu Shooting bao 5-0 leo


Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, akishangilia bao aliloifungia timu yake dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga imeshinda 5-0. (Picha na Francis Dande). Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimpiga kanzu mchezaji wa Ruvu Shooting, Abdulahman Musa, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 5-0. 
Juma Abdul (kushoto) akichuana na beki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PHD aungana na Wazambia kumuenzi Kanumba

STAA wa filamu, Hemed Suleiman ‘PHD’ amerejea nchini juzi akitokea Zambia alikokuwa akitengeneza filamu na wasanii wa huko kwa ajili ya kumuenzi nguli wa filamu za Bongo, marehemu Steven Kanumba....

 

10 years ago

Habarileo

Wazambia wasema Tanzania itaendelea kuwa ya amani

WATANZANIA wameelezwa kuwa nchi yao itaendelea kuwa na amani huku maslahi ya taifa yakilindwa, endapo vyombo vya habari vya ndani vitafanya kazi yake kwa kuzingatia maadili na mipaka ya uhuru wa habari.

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Lungu ana ‘kibarua’ kutimiza ahadi lukuki alizotoa kwa Wazambia

Katika uchaguzi huo uliokuwa na ushindani mkali kutoka kwa mgombea wa chama cha upinzani, Hakainde Hichilema, Lungu aliapishwa huku wapinzani wakiamini kuna mchezo mchafu ulichezwa ili kumwingiza Ikulu, kwa kuwa aliwahi kufanya kazi kwa karibu na Rais Michael Satta.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais wa Zanzibar wanukia Pemba

Wakati Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (Zec), ikitangaza ratiba ya Uchaguzi Mkuu, wanasiasa wenye asili ya Pemba wameamua kudhibiti nafasi ya urais Zanzibar baada wagombea watano kutoka kisiwani humo kutajwa kuwa na mipango wa kugombea, akiwamo Rais Dk Ali Mohamed Shein .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani