Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaivaa Azam, Prison v Mbeya City

 Kulinda heshima, ndicho anachokitaka kocha wa Simba, Goran Kopunovic leo katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Azam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ligi kuu ya vodacom yazidi kurindima, kagera city hoi kwa mbeya city, yanga yabanwa na ruvu shooting, azam na simba kidedea

Picha na habari na Faustine RuttaLigi Kuu ya Vodacom imeendelea Jumamosi  kwa Mechi kadhaa na Mabingwa Watetezi Azam FC kushinda huko Shinyanga na kutwaa uongozi wa Ligi toka kwa Mtibwa Sugar ambao wanacheza leo, huku Yanga wakiteleza kutwaa uongozi huo baada ya kubanwa na Ruvu Shooting kwa Sare ya 0-0 Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Yanga walistahili ushindi lakini walishindwa kufunga wakati walipata nafasi za wazi kibao.
Huko Kambarage, Shinyanga, Azam FC wameifunga Stand United Bao 1-0 kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya City yaivaa Victoria leo

City ilitinga robo fainali baada ya kuifunga Academie Tchite ya Burundi kwa mabao 3-2, kabla ya kufungwa na AFC Leopards ya Kenya 2-1,  kulazimishwa sare na Entincelles ya Rwanda.

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba SC yatakata Mkoani Tanga, Mbeya City taabani, Azam Fc mbele kwa mbele!!

SIMBaaaaaKikosi cha Simba SC kilichoifunga 1-0 African Sports leo Uwanja wa Mkwakwani, Tanga (Picha kwa hisani ya mtandao wa http://www.binzubeiry.co.tz

Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamevunja mwiko wa kutoshinda kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga baada ya kuigaragaza African Sports kwa bao 1-0.

Simba leo iliingia katika mchezo huo ikiwa na presha baada ya kutoshinda mchezo wowote kwenye uwanja huo kwa miaka mitatu mfulilizo. Bao la Simba katika mchezo huo limefungwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtibwa Sugar, Prison, Azam waishangaa Simba kutofuata taratibu za usajili

Klabu za Mtibwa Sugar na Prisons zimeutaka uongozi wa Simba ya Dar es Salaam ufuate utaratibu kama unataka kuwasajili baadhi ya wachezaji wao.

 

11 years ago

GPL

AZAM FC WAKIPASHA MISULI KABLA YA KUWAKABILI MBEYA CITY JIJINI MBEYA

Wachezaji wa Azam FC wakipasha misuli ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya muda mfupi kabla ya kukwaana na Mbeya City leo. (PICHA NA…

 

10 years ago

Vijimambo

YANGA BAADA YA KUZIPIGA KIBAJAJA MBEYA CITY NA PRISON SASA KUPAA KWENDA BOTSWANA JUMATANO HII.

YANGA wameendelea kujikita kileleni mwa ligi kuu soka Tanzania bara kufuatia kuichapa Mbeya City fc mabao 3-1  na Prison 3-0 katika mechi za ligi kuu zilizopigwa huko Mbeya Yanga imezoa point 6 na magoli 6 kwenye uwanja huo baada ya kuzipiga Prison na Mbeya City Kibajaja kila mmoja jumatano hii Yanga kupaa kwenda Botswana wakiwa na matumaini makubwa ya kushinda kwenye mchezo huo utakaopigwa Ijumaa hii huko Botswana na timu ya BDF XI.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani