Simu bilioni moja za Android zimo hatarini kudukuliwa.
Zaidi ya vifaa bilioni moja vya Androiod vimo katika hatari ya kudukuliwa kwasababu havilindwi na app za usalama au waangalizi wa usalama wake ambao wamesema hayo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Dec
Wapenzi wa jinsia moja hatarini Urusi
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Je una simu ya Android ?Soma utafiti huu
11 years ago
Mwananchi27 May
Kicheko kwa watumiaji wa simu za mfumo wa Android
10 years ago
Michuzi11 May
Hospitali ya AMI hatarini kufurushwa kwa kutolipa kodi ya pango ya bilioni tatu
Hatua hii imefikiwa baada ya mabishano ya muda mrefu ya kisheria baina ya AMI na mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa jengo hilo, Bw. Navtej Singh...
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
Jinsi ya kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android
Kama ni mtumiaji wa simu za Android (kama mimi) lazima umekwisha kutana na jambo hili. Mara kwa mara simu yako itakupa ujumbe kuwa imejaa. Kinachosababsha simu yako kujaa mapema si simu bali ni program (applications) unazopakua na kutumia pia maudhui kama vile picha, muziki na video.
Je unawezje kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android? Tutatumia mfano wa Huawei Y360. Sababu ya kutumia aina hii ya simu kama mfano ni kwa vile inaaminika na kupendwa na watu wengi, japo ni simu mpya hapa...
11 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-VP6GEZljf1Q/U3no0iY-i6I/AAAAAAAAAf0/glm8dVIWCxw/s72-c/112.jpg)
WASIWASI WA KIUSALAMA MTANDAO WA TANDA KWA WATUMIAJI SIMU ZA ANDROID
![](http://1.bp.blogspot.com/-VP6GEZljf1Q/U3no0iY-i6I/AAAAAAAAAf0/glm8dVIWCxw/s1600/112.jpg)
Kile kilicho onekana sana kwa watumiaji wa komputa ambapo wahalifu wanazifunga...
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Gaurav Agrawal : 'Jinsi picha yangu ilivyoharibu simu za Android'
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Siwa za bilioni moja zafutwa
SIWA mbili za Bunge zilizopendekezwa na Kamati ya Kumshauri Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalumu la Katiba zilizotarajia kugharimu sh bilioni moja, hazitanunuliwa tena. Siwa hizo zenye urefu wa mita...