SIMU TV: MAGAZETINI LEO

CH 10 Baada ya kuteuliwa kupeperush bendera ya CCM , hii ndiyo siri nzito aliyoitoa. Tazama ilivyoandikwa na Magazeti ya Leo.https://youtu.be/uCYNsRLp2akSTAR TVWahariri wa Magazeti yote watekwa na habari za Magufuli, tazama walivyozipamba katika Magazeti yao Leo. https://youtu.be/7-Ckg0Smzr0
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO
SIMU.TV: Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa; https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk SIMU.TV: Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY SIMU.TV:...
10 years ago
Michuzi
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI
Mgombea ubunge Arumeru mbaroni, mamilioni wajitokeza kupiga kura, amani yatawala. Pata habari kutoka magazeti ya leo; https://youtu.be/K3MJHg68bD4 Yanga yaja kidigitali, N’daw aishtua Simba, Aveva aamua kuchukua hatua. Ni katika magazeti ya michezo ya leo; https://youtu.be/OxKtrvo9SaM Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Jumatatu Octoba 25.2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/GwaPCQlaY7Y
10 years ago
Michuzi
MAPITIO YA MAGAZETINI LEO
Ni Magufuli atangazwa rais awamu ya 5.Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Octoba 30.2015; https://youtu.be/8ZvvzkBbuz4
Utulivu warejea kisiwani Zanzibar.Waangalizi walia na ZEC wataka matokeo yatangazwe.Haki za binadamu wataka kuisaidia ZEC; https://youtu.be/BI16XOK4tAg
Lowasa apinga urais wa Dr.Magufuli, viongozi wa dini wamshauri Lowasa na UKAWA. Ndivyo magazeti yanavyoandika siku ya leo; https://youtu.be/WLjkpl61hHc
Dr.Magufuli atinga ikulu. Watanzania wampa zawadi ya urais...
9 years ago
Michuzi
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO
SIMU.TV: Rais Magufuli akabidhiwa ofisi rasmi, kufutwa uchaguzi Zanzibar kaa la moto. Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili wa wabunge; SIMU.TV: Philip Marmo, Ndungai wazidisha joto uspika, CCM yazoa viti maalum 1,021 vya udiwani, wane waimamishwa kazi halmashauri ya Hai; https://youtu.be/FxYZqMCAsGQ
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...
9 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO, HUAWEI WAZINDUA SIMU YA WATU WA HALI YA CHINI JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
VijimamboKAMPUNI YA SIMU YA TIGO NA DTBi WAZINDUA HUDUMA YA KUREJESHA KUMBUKUMBU NA KUZUIA WIZI WA SIMU ZA MKONONI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi
SIMU TV: MAPITIO YA MAGAZETI LEO
SIMUtv: Lipumba afanya maamuzi magumu , ajivua rasmi uenyekiti CUF na kuituhumu UKAWA. Tazama zaidi uchambuzi wa habari za Magazeti. https://youtu.be/KdEMeaxaBA8SIMUtv: Maamuzi magumu ya Lowassa yahamia kwa Lipumba. Aukosoa UKAWA na kujiuzuru. Mengi yaandikwa katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/EsToWBi9JVgSIMUtv:UKAWA hali tete,mwamba mmoja wavunjika,wahaha na vikao kumjadili Lipumba kuachia ngazi. Jionee habari hizo katika Magazeti ya Leo. https://youtu.be/iECu-SGN5KkSIMUtv: Klabu ya...
10 years ago
Michuzi
BUNGENI LEO KUPITIA SIMU TV
SIMUtv: Naibu waziri wa mambo ya ndani Mh.Silima akijibu swali juu ya hali ya ugaidi hapa nchini licha ya kifo cha kiongozi wa kundi la kigaidi Osama bin Ladden https://youtu.be/9bir_jqGd8YSIMUtv: Tamko la serikali juu ya wakulima waliotumia sera za kilimo nchini Mkatika kuongeza kiwango cha uzalishaji wa mazao ya kilimo. http://youtu.be/CVv08Qx_0cQSIMUtv: Serikali imeombwa kuwashirikisha wadau mbalimbali toka sekta binafsi kuwekeza katika usafiri visiwani ili kurahisisha huduma za...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania