SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI
![](http://img.youtube.com/vi/Hn8sfh0E_dg/default.jpg)
Mgombea ubunge Arumeru mbaroni, mamilioni wajitokeza kupiga kura, amani yatawala. Pata habari kutoka magazeti ya leo; https://youtu.be/K3MJHg68bD4 Yanga yaja kidigitali, N’daw aishtua Simba, Aveva aamua kuchukua hatua. Ni katika magazeti ya michezo ya leo; https://youtu.be/OxKtrvo9SaM Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Jumatatu Octoba 25.2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/GwaPCQlaY7Y
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ZLbwvEA0E-A/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO
SIMU.TV: Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa; https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk SIMU.TV: Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY SIMU.TV:...
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/he5sNUP8L1A/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/EXIHGwof-90/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO
SIMU.TV: Rais Magufuli akabidhiwa ofisi rasmi, kufutwa uchaguzi Zanzibar kaa la moto. Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili wa wabunge; SIMU.TV: Philip Marmo, Ndungai wazidisha joto uspika, CCM yazoa viti maalum 1,021 vya udiwani, wane waimamishwa kazi halmashauri ya Hai; https://youtu.be/FxYZqMCAsGQ
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...
9 years ago
Michuzi21 Oct
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015
Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo; https://youtu.be/he5sNUP8L1A Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ; https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8TG2vUCkkDc/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015
Kesi ya mita 200 moto, Lowasa sasa atishia kushtaki jeshi la polisi ICC. GP Hamdan awaonya waoandaa vurugu. Ni katika magaazeti ya leo Octoba 22.2015;https://youtu.be/TkIYjEUaJyw Yanga acha kabisa, Chipukizi Simba kutimukia Ubelgiji, Ndemla afunguka. Nyoso atafutiwa mbadala. Kwa habari hizi na nyingezo za michezo utazipata katika udondozi wa magazeti hapa Simu.tv ; https://youtu.be/yL4C4fUOPgo Rais Kikwete asema wanaimarisha jeshi ili kulinda mipaka ya nchi, NHIF yapania makubwa. Pata habari za...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/SqAFJXvX1EY/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015
Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti; Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini; https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti; https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pPU6xFKHYlU/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MAZtm5QSZmU/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI LEO
Ni saa 144 za kufa, kupona urais 2015, UKAWA, CCM wachuana Dar Kwa bendera. Pata dondoo za magazeti ya leo kupitia Simu.Tv; https://youtu.be/mY6Gr0QcaLI Hivi Msimbazi mmemsoma vyema kocha Dylan Kerr? Gazeti la Mwanaspoti linakuja na kichwa hicho cha habari, kufahamu zaidi hapa; https://youtu.be/JAyNHZ5uFq4 Pata habari za kisiasa,kiuchumu na kijamii zilizoandikwa katika magazeti ya leo Octoba 19.2015 hapa Simu.Tv; https://youtu.be/bfrb8qNb_uM
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lIVoBh1Hydg/default.jpg)
UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI NDANI YA SIMU TV
Magufuli afunika jijini Dar es salaam. Kwa habari kemkem zama hapa SIMUtv kutazama uchambuzi zaidi ; https://youtu.be/u9gu21yobrA
CH 10
Je unajua magazeti ya leo yameandika nini jumatano hii? Tazama uchambuzi wa habari za magazetini. SIMUtv; https://youtu.be/lIVoBh1Hydg
STAR TV
Polisi watoa Shilling million 50 kuwanasa wauwaji Dar es Salaam. Pitia dondoo za magazeti ya leo 15 July 2015 hapa SimuTV, https://youtu.be/WPx-UyUkT04
AZAM TV
Yanga yajichimbia jeshini Dar, Wawekewa ulinzi mkali....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania