Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI







Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO

SIMU.TV: Rais Magufuli akabidhiwa ofisi rasmi, kufutwa uchaguzi Zanzibar kaa la moto. Bunge la 11 kuanza leo kwa usajili wa wabunge; SIMU.TV: Philip Marmo, Ndungai wazidisha joto uspika, CCM yazoa viti maalum 1,021 vya udiwani, wane waimamishwa kazi halmashauri ya Hai;  https://youtu.be/FxYZqMCAsGQ
SIMU.TV: Maduka ya dawa binafsi Muhimbili kufungwa, serikali kuanzisha maduka yake ndani ya hospitali zote za serikali; https://youtu.be/ZlfbjFp8bs8
SIMU.TV: Pata dondoo za habari za kina za kisiasa,...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI

Mgombea ubunge Arumeru mbaroni, mamilioni wajitokeza kupiga kura, amani yatawala. Pata habari kutoka magazeti ya leo;  https://youtu.be/K3MJHg68bD4 Yanga yaja kidigitali, N’daw aishtua Simba, Aveva aamua kuchukua hatua. Ni katika magazeti ya michezo ya leo; https://youtu.be/OxKtrvo9SaM  Pata habari motomoto za kisiasa katika magazeti ya leo Jumatatu Octoba 25.2015 hapa Simu.tv; https://youtu.be/GwaPCQlaY7Y

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 21,2015

  Majimbo kumi ya kufa au kupona kati ya CCM na CHADEMA. Masha akamatwa tena.Yote haya utayapata katika magazeti ya leo;  https://youtu.be/he5sNUP8L1A  Magufuli kutikisa Dar kwa siku tatu. NEC yasema kukusanyika mita 200 ni hujuma na kwamba kutazua hofu kwa wapiga kura; https://youtu.be/1cf2IYpQLjU
Mchungaji afungwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mwanae. Wataalam wasema ni vigumu chopa kulipuka ;  https://youtu.be/XPE-WhIy80E
Simba ,Yanga vitani leo, Kiiza mchezaji bora September. MO yaitaka...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 22,2015

Kesi ya mita 200 moto, Lowasa sasa atishia kushtaki jeshi la polisi ICC. GP Hamdan awaonya waoandaa vurugu. Ni katika magaazeti ya leo Octoba 22.2015;https://youtu.be/TkIYjEUaJyw Yanga acha kabisa, Chipukizi Simba kutimukia Ubelgiji, Ndemla afunguka. Nyoso atafutiwa mbadala. Kwa habari hizi na nyingezo za michezo utazipata katika udondozi wa magazeti hapa Simu.tv ; https://youtu.be/yL4C4fUOPgo Rais Kikwete asema wanaimarisha jeshi ili kulinda mipaka ya nchi, NHIF yapania makubwa. Pata habari za...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI LEO


SIMU.TV:  Uzoefu, busara kumbeba Spika, wabunge wataja sifa nyingine, awe na ujuzi wa sheria. Makinda ang’atuka uongozi wa kisiasa;  https://youtu.be/ZLbwvEA0E-A SIMU.TV: Kasi ya Magufuli noma, waziri mkuu anatakiwa kuwa na sifa ya ufuatiliaji. Uwazi wa EWURA ulivyoleta unafuu wa bei ya mafuta; https://youtu.be/ZhWl1GQz1Gk SIMU.TV:  Lowassa, Maalim Seif wateta saa moja. Mtanzania atuhumiwa kuhifadhi maiti Brazil. Walimu washauriwa kufuata kasi ya rais;https://youtu.be/Y_KOeoty6BY SIMU.TV:...

 

9 years ago

Michuzi

UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 27,2015

Magufuli azidi kungara katika matokeo ya awali katika majimbo 13. Mawaziri waanguka majimboni. Yote haya utayapata katika magazeti; Mzee ‘sawasawa’ ajitangaza  mshindi Zanzibar, Polisi yakamata 169 kwa kuingilia tume. Pata dondoo za habari za magazetini;  https://youtu.be/mGoDo1XC_Ts
Polisi wazima vurugu Zanzibar. Aeleza sababu ya matokeo jimbo la Ukonga kuchelewa. Pata undani wa habari hizi katika magazeti;  https://youtu.be/3jfyH1rEnjQ
Ulinzi waimarishwa Zanzibar, wasimamizi wa uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI ZA MAGAZETINI OKTOBA 28,2015

Familia mbili zanusurika kifo Pemba. Vigogo zaidi wafyeka ubunge.Pitia dondoo za hahbari za magazeti hapa;Dr.Magufuli anusa harufu ya ikulu, Waangalizi wapongeza mchakato wa uchaguzi. Pata habari zaidi katika magazeti ya leo; https://youtu.be/DkLFy4SEpgYZEC yaagiza vyombo vya dola vimkamate Maalim Seif, UKAWA wasema hatukubali matokeo ya urais;  https://youtu.be/lBrQxhGgSY8
Vijana wa Lowasa wapandishwa kizimbani, matokeo urais Zanzibar yazidi kutolewa. Pata dondoo za magazeti ya leo;...

 

9 years ago

Michuzi

HABARI ZA MAGAZETINI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

NEC yasema wapiga kura halali ni Mil.22.7, ZEC yafafanua waliofutwa daftari la kudumu la wapiga kura. fuatilia dondoo za magazeti ya leo Magufuli asema hana mchezo, asema hawezi kuvumilia kuona wananchi wanaumizwa. Waziri Kigoda afariki dunia ; https://youtu.be/8RQRzQUH53U
Membe amvaa Lowasa,asema hana uwezo wa kuongoza. Awamwagia sifa Zitto Kabwe na Dk.Slaa.Pitia dondoo za magazeti hapa;  https://youtu.be/UNzANwKRMyg
Yanga yaiendea Azam Bagamoyo, Samata awania tuzo ya mchezaji bora. Pata...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani