Singida wakwama upandaji miti
ZAIDI ya miti milioni 10.3 ya aina mbalimbali ilipandwa mkoani Singida kati ya mwaka 2010 na mwaka jana.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SR7L5mjyzUI/XoS5_v2HAVI/AAAAAAALl0Q/kwBpgTKvkusLrilPtLxP5v5t_j_dwsVNwCLcBGAsYHQ/s72-c/7a0150c6-ad7f-4891-ae25-d8ec831c3923.jpg)
TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

MichuziBUNGE LATAKA SERIKALI KUMPA TUZO YA UPANDAJI MITI RC WA TABORA
NA TIGANYA VINCENTWAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasi na Utalii wameitaka Serikali kutoa tuzo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwa jitihada zake za upandaji miti katika eneo hilo.
Walisema kuwa ushiriki wake moja kwa moja na uhamasishaji wake katika jamii kuanzia Shule za Msingi hadi Vyuo Vikuu umesaidia kujenga uelewa wa umuhimu wa upandaji na utunzaji miti katika eneo hilo.
Mjumbe Kamati hiyo ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kaliua Magdalena Sakaya alisema juhudi za...

11 years ago
MichuziMAALIM SEIF AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KITAIFA,MJINI UNGUJA
10 years ago
GPLKINONDONI MWENYEJI WA SIKU YA UPANDAJI MITI MKOA WA DAR ES SALAAM KESHO
 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la wilaya hiyo kuhusu uzinduzi wa siku ya upandaji…
9 years ago
MichuziTANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-WQMyrYPqVsk/VdsT0hMSpiI/AAAAAAAHznY/tVUywX7hln0/s640/02.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-i_MW29iAiY0/VoJfkm5MFgI/AAAAAAAAATM/c69VrdF193A/s72-c/DSC_4362.jpg)
SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, TAMISEMI NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA NA MUUNGANO KUANZISHA PROGRAMU YA PAMOJA WA UPANDAJI MITI
![](http://3.bp.blogspot.com/-i_MW29iAiY0/VoJfkm5MFgI/AAAAAAAAATM/c69VrdF193A/s640/DSC_4362.jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Jan
Singida yafanikiwa kupanda miti Mil 10
Na Nathaniel Limu, Mkalama
MKOA wa Singida umefanikiwa kupanda miti ya aina mbalimbali ipatayo 10,347, 870 sawa na asilimia 37 ya lengo la mkoa kupanda miti 27,500,000 kati ya mwaka 2010 na mwaka jana
Hata hivyo kwa mujibu wa wataalamu, asilimia 50 ya miti hiyo...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania