Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BUNGE LATAKA SERIKALI KUMPA TUZO YA UPANDAJI MITI RC WA TABORA

NA TIGANYA VINCENTWAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasi na Utalii wameitaka Serikali kutoa tuzo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri kwa jitihada zake za upandaji miti katika eneo hilo.
Walisema kuwa ushiriki wake moja kwa moja na uhamasishaji wake katika jamii kuanzia Shule za Msingi hadi Vyuo Vikuu umesaidia kujenga uelewa wa umuhimu wa upandaji na utunzaji miti katika eneo hilo.
Mjumbe Kamati hiyo ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kaliua Magdalena Sakaya alisema juhudi za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, TAMISEMI NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA NA MUUNGANO KUANZISHA PROGRAMU YA PAMOJA WA UPANDAJI MITI

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe akizungumza kwenye kikao cha pamoja kati yake na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Januari Makamba (kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 katika ukumbi wa Selous Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii  Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuipa majukumu Kamati Maalum ya Wataalam ya kutengeneza andiko maalum litakalotumika kuandaa Programu ya pamoja ya kitaifa ya upandaji miti nchi nzima kuanzia mijini...

 

5 years ago

Michuzi

TFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR

Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Singida wakwama upandaji miti

Mkuu Mkoa wa Singida, Dk Parseko KoneZAIDI ya miti milioni 10.3 ya aina mbalimbali ilipandwa mkoani Singida kati ya mwaka 2010 na mwaka jana.

 

10 years ago

GPL

KINONDONI MWENYEJI WA SIKU YA UPANDAJI MITI MKOA WA DAR ES SALAAM KESHO

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana, wakati akitoa tamko la wilaya hiyo kuhusu uzinduzi wa siku ya upandaji…

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KITAIFA,MJINI UNGUJA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipanda mti katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika uzinduzi wa zoezi la upandaji miti Kitaifa, katika eneo la barabara ya Jendele/Unguja Ukuu. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo na Maliasili, Affan...

 

9 years ago

Michuzi

TANGA CEMENT YATOA SOMO LA UPANDAJI MITI KWA WANAFUNZI WA SEKONDARI YA ROSMINI

 Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje  wa Tanga Cement,Bi. Mtanga Noor (kulia) akiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini ya mjini Tanga wakishiriki zoezi la kupanda miti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya Saruji Tanga ikiwa na lengo la kutoa elimu kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mazingira na elimu kwa vitendo kuhusu namna bora ya kupanda miti. Miti 316 ilipandwa katika hafla hiyo iliyofanyika Pongwe mkoani Tanga jana.  Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari  Rosmini...

 

10 years ago

Habarileo

Bunge lataka miundombinu DART ilindwe

KAMATI ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetoa agizo kwa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuharakisha kufanya makubaliano na Jeshi la Polisi nchini ili kuunda kikosi maalumu cha ulinzi wa miundombinu ya mradi huo ambayo imekuwa ikihujumiwa na baadhi ya watu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani