Siri fedha za UKAWA zaanikwa
UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetoa siri ya vyanzo vyake vya fedha zinazowezesha kuzunguka nchi nzima na kufanya mikutano ya hadhara kuelimisha umma. UKAWA imesema kuwa chanzo chake cha...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Siri za kuua upinzani zaanikwa
HOFU ya kung’oka madarakani iliyojengeka kwa baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasiokuwa waadilifu imeelezwa kuwa sababu ya kudhoofisha vyama vya upinzani nchini. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na...
9 years ago
Habarileo12 Sep
Warioba afichua siri ya Ukawa
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Siri ya Warioba, Ukawa hii hapa
WAZIRI Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba na mwenzake katika wadhifa huo kwa nyakati tofauti za
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mwananchi03 Oct
Fainali: CCM siri, Ukawa Jangwani
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Siri nzito Ukawa, vikao vyaendelea mfululizo
9 years ago
Mwananchi04 Sep
Siri ya CCM, Ukawa Nyanda za Juu Kusini
10 years ago
Habarileo12 Jul
Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri
UPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eGJdezr2p4Xz2BgefpX5LoQcSEylyJB*zX19AHmyeR5C7QdOogCqf1chhyAckbS9q3sbugbPKY1ZoKvVEt3i-LGbmnHX3*vD/msanii.gif?width=650)
PICHA ZA MSANII BONGO AKIJIFUNGUA ZAANIKWA!
9 years ago
Bongo Movies24 Sep
Mastaa Kuhama Ukawa Kwenda CCM, Siri Nzito Yafichuka
NYUMA ya wimbi kubwa la mastaa waliokuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuna siri nzito zilizojificha na Amani limechimbua kutoka kwa wahusika.
Hivi karibuni, mastaa mbalimbali akiwemo mwigizaji Aunt Ezekiel na Vincent Kigosi ‘Ray’ waliokuwa wakishabikia Chadema kinachoungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), walitangaza kuhamia CCM na kuzua taharuki kwa wafuasi wao.
Baada ya wawili hao kuhamia CCM, yaliibuka...