‘Sitakubali viongozi walalamikaji’
MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema hayupo tayari kuona viongozi wakigeuka kuwa walalamikaji. Badala yake, amesema viongozi hao watabanwa, wachukue hatua na uamuzi mgumu kwa maslahi ya taifa na wananchi wake.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Nyangwine: Tusichague viongozi walalamikaji
MBUNGE wa Tarime, Chacha Nyangwine (CCM), amewataka Watanzania kuwa makini katika kuwapitisha au kuwachagua watendaji wachapa kazi badala ya kuwachagua walalamikaji. Nyangwine alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipozungumza na wakazi...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Walalamikaji wamkataa hakimu
WALALAMIKAJI 12 waliokuwa wafanyakazi wa taasisi ya mikopo ya FINCA Tanzania Ltd, ambao walifukuzwa kazi Juni mwaka jana, wamemkataa Hakimu Yusuph Lumumba, anayesikiliza shauri la mgogoro huo dhidi ya taasisi hiyo...
10 years ago
Bongo Movies18 Jun
Wema: Baba Aliniambia Niingie Kwenye Siasa, Haya Sasa Naingia Vitani, Sitakubali Kushindwa
Staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu ambaye ametangaza nia kuwania ubunge wa Viti Maalum kupitia CCM ameandika hayo kwenye ukursa wake Instagram mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu ya zamani akiwa na mama yake pamoja na Marehemu baba yake.
"Naanza kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri.
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but more over kwa kunipa support kubwa...
11 years ago
Habarileo15 Jun
Tusiigeuze Tanzania nchi ya walalamikaji-Filikunjombe
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) amewataka Watanzania wakiwemo viongozi kuacha tabia ya kulalamika ili nchi iweze kupiga hatua kimaendeleo, badala ya kugeuka taifa la walalamikaji.
10 years ago
Tanzania Daima13 Nov
Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?
JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...