Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyangwine: Tusichague viongozi walalamikaji

MBUNGE wa Tarime, Chacha Nyangwine (CCM), amewataka Watanzania kuwa makini katika kuwapitisha au kuwachagua watendaji wachapa kazi badala ya kuwachagua walalamikaji. Nyangwine alitoa kauli hiyo hivi karibuni alipozungumza na wakazi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

‘Sitakubali viongozi walalamikaji’

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli amesema hayupo tayari kuona viongozi wakigeuka kuwa walalamikaji. Badala yake, amesema viongozi hao watabanwa, wachukue hatua na uamuzi mgumu kwa maslahi ya taifa na wananchi wake.

 

10 years ago

Mtanzania

Mchungaji: Tusichague viongozi kwa itikadi za siasa

NA ELIYA MBONEA, ARUSHA

KANISA la Babtist Tanzania limesema katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu Watanzania wanatakiwa kuchagua kiongozi  mwenye uwezo wa kuwatumikia wananchi bila kuangalia itikadi, kabila wala dini yake.

Kauli hiyo ilitolewa na Mwangalizi Mkuu wa Makanisa ya Babtist Tanzania, Mchungaji Anord Manase, wakati alipofungua  kongamano la wanawake wa Kibabtisti nchini lililofanyika Chuo Kikuu cha Mount Meru wilayani Arumeru mkoani hapa.

Akizungumza katika...

 

11 years ago

Habarileo

CUF: Tusichague rais kwa sababu ya ujana

 Naibu Mkurugenzi, Mawasiliano wa CUF, Abdul KambayaVIJANA wanaotaka uongozi hususani nafasi ya urais, wameshauriwa kujenga hoja, kuonesha malezi mazuri waliyo nayo na karama ya uongozi, ili watu wabaini wawachague, badala ya kuegemea kigezo cha rika kuwapatia nafasi husika.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walalamikaji wamkataa hakimu

WALALAMIKAJI 12 waliokuwa wafanyakazi wa taasisi ya mikopo ya FINCA Tanzania Ltd, ambao walifukuzwa kazi Juni mwaka jana, wamemkataa Hakimu Yusuph Lumumba, anayesikiliza shauri la mgogoro huo dhidi ya taasisi hiyo...

 

11 years ago

Habarileo

Tusiigeuze Tanzania nchi ya walalamikaji-Filikunjombe

Deo FilikunjombeMBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM) amewataka Watanzania wakiwemo viongozi kuacha tabia ya kulalamika ili nchi iweze kupiga hatua kimaendeleo, badala ya kugeuka taifa la walalamikaji.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tutakuwa nchi ya walalamikaji mpaka lini?

JUZI Naibu Spika, Job Ndugai, aliitaka Serikali kushughulikia suala la mauaji ya Kiteto yanayotokea mara kwa mara kiasi cha kulifananisha eneo hilo na nchi ya Somalia. Somalia ni miongoni mwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaume wana haki ya asili - Nyangwine

Mjumbe wa Bunge la Katiba, Nyambari Chacha Nyangwine amewapiga vijembe wanaume wanaotaka haki zao ziingizwe kwenye Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Kabaka, Nyangwine waanguka kura za maoni

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka na Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine wameshindwa katika kura za maoni za ubunge katika majimbo ya Tarime Mjini na Tarime.

 

10 years ago

Daily News

Kabaka, Nyangwine experience defeat in Tarime


Kabaka, Nyangwine experience defeat in Tarime
Daily News
Minister for Labour and Employment Ms Gaudensia Kabaka has been defeated in preferential elections for the newly-created Tarime Urban constituency. The winner of the polls is Mr Michael Kembaki who collected 3,908 votes against Ms Kabaka's 2,411.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani