Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta awajibu Ukawa, asema serikali itafufua ATC

Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta amesema serikali italifufua Shirika la Ndege Tanzania (ATC) ili liweze kununua ndege nne na kuanza biashara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Bunge la Katiba 'litaendelea bila Ukawa,' asema Sitta huku kanuni zikirekebishwa [VIDEO]

Wakati vikao vya Bunge Maalum la Katiba vikianza tena mjini Dodoma bila ya kuwepo kwa Ukawa, Mwenyekiti wa Bunge hilo, Samweli Sitta amesema Bunge hilo halitaahirisha shughuli zake hadi hapo muda wa siku 60 waliopewa utakapokamilika.

 

10 years ago

GPL

ZITTO AWAJIBU CHADEMA, ASEMA WASHINDANE KWA HOJA

Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe samamba na timu yake wakiwasalimia wakazi wa Mwanza jana. Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mwanza jana katika Uwanja wa Furahisha. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa ACT. Na Johnson James, Mwanza
KIONGOZI Mkuu wa chama kipya cha…

 

11 years ago

Michuzi

ASKOFU KKKT IRINGA DKT MDEGELA ATAKA'UKAWA' WASIRUHUSIWE KUENEZA CHUKI NCHINI, AWATAKA WAREJEE BUNGENI AMA WAFUNGASHE VIRAGO WARUDI NYUMBANI ASEMA SERIKALI NI MBILI PEKEE

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela Wachungaji na  msaidizi wa Askofu kulia wakifuatilia salam za  pasaka zilizokuwa  zikitolewa na askofu Dkt. Mdegela Waumini  wa KKKT usharika wa kanisa  kuu Iringa leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA Na  Francis Godwin, Iringa 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Kilutheri (KKT) dayosisi ya  Iringa  Dkt. OwdenburgMdegela ameitumia ibada  ya Jumapili ya Pasaka leo  kulaani vikali  wale wote  wanaowatukana...

 

10 years ago

Vijimambo

Sitta: Maaskofu ni Ukawa

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta sasa ‘ametangaza rasmi vita’ dhidi ya viongozi wa dini kwa kusisitiza kuwa hayuko tayari kuwaheshimu wala kuwavumilia ambao wanatoa nyaraka alizodai kuwa hazina utukufu wa Mwenyezi Mungu kwa waumini wao.

Sitta alitoa kauli hiyo jana asubuhi bungeni wakati akisoma matangazo mbalimbali na kuamua kusoma waraka aliodai kuwa umetolewa na viongozi hao wa dini huku akiuhusisha na siasa za kundi la wajumbe waliosusia Bunge Maalum la Katiba kutoka...

 

10 years ago

Mtanzania

JK, Ukawa wamtia Sitta kitanzani

Mtanzania 10092014NA RACHEL MRISHO, DODOMA

UAMUZI uliofikiwa na viongozi wa vyama vya siasa na Rais Jakaya Kikwete umemweka katika wakati mgumu Mwenyeki wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta kuahirisha au la vikao vya Bunge hilo.

Hii inafuatia Rais Kikwete na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kukubaliana kusitisha Bunge la Katiba Oktoba 4 tofauti na ratiba ya Sitta ambayo inaonyesha vikao vitaendelea hadi Oktoba 31 atakapomkabidhi rais katiba iliyopendekezwa.

Vilevile kwa tafsiri ya uamuzi...

 

10 years ago

Habarileo

Sitta apuuza maoni ya Ukawa

Mwenyekiti wa Chama cha Wafugaji nchini, Huruma Ole Kalaita (kulia) akiwa na ujumbe wa wanachama 44 wa chama hicho mbele ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta (katikati) walipomtembelea bungeni Dodoma jana kutoa maoni yao ya uboreshaji wa mapendekezo ya Katiba. Kushoto ni mlezi wa chama hicho, John Shibuda. (Na Mpigapicha Wetu).MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amepuuza maoni ya viongozi wa wajumbe wa Bunge hilo wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutaka Bunge hilo lisitishwe.

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta aifuata Ukawa Z’bar

Wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiweka kambi Zanzibar, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana naye alitumia siku nzima visiwani humo akikutana na baadhi ya viongozi wa Serikali, katika kile kinachotafsiriwa kuwa kulinusuru Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta- Ukawa waje tuzungumze

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wanaotoka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), waliotoka bungeni juzi jioni wamepanga kufanya mkutano wa hadhara Zanzibar kesho, kwa kile walichodai ni kuwaeleza wananchi ukweli wa mambo yanayojiri katika Bunge linaloendelea hivi sasa.

 

10 years ago

Mtanzania

Jinamizi la Ukawa lamtesa Sitta

1...1..1.NA SARAH MOSSI, DODOMA
MAKADA wengine watatu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samuel Sitta, Profesa Sospeter Muhongo na Dk. Titus Kamani nao wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania nafasi ya urais.
Kujitosa kwa wanasiasa hao katika kinyang’anyiro hicho kunaifanya idadi ya makada wa chama hicho waliochukua fomu kufikia 13 hadi kufikia jana.

SITTA
Sitta, ambaye ni Waziri wa Uchukuzi, ndiye aliyekuwa wa pili kuchukua fomu hiyo kwa siku ya jana, akitanguliwa na Profesa Sospeter...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani