ZITTO AWAJIBU CHADEMA, ASEMA WASHINDANE KWA HOJA
Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe samamba na timu yake wakiwasalimia wakazi wa Mwanza jana. Zitto Kabwe akiongea na wakazi wa Mwanza jana katika Uwanja wa Furahisha. Wananchi wakiwa katika mkutano huo wa ACT. Na Johnson James, Mwanza KIONGOZI Mkuu wa chama kipya cha…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wajumbe washindane kwa hoja — Mkosamali
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Felix Mkosamali, amewataka wajumbe kuhakikisha wanashindana kwa hoja badala ya kutumia muda mwingi kujadili mambo ya chama. Mkosamali alitoa kauli hiyo muda mfupi baada...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-opUFBNzZwcE/UmInc_Sz2XI/AAAAAAAAOww/YFUfMOT4nks/s72-c/zitto+kabwe.jpg)
Zitto aachia rasmi ubunge, Asema Chadema basi, wafuasi wake wamwaga chozi.
![](http://1.bp.blogspot.com/-opUFBNzZwcE/UmInc_Sz2XI/AAAAAAAAOww/YFUfMOT4nks/s640/zitto+kabwe.jpg)
Zitto ambaye alivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wiki iliyopita baada ya kushindwa kesi aliyoifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, alitangaza uamuzi huo jana katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa soko la kijiji cha Mwandiga, mkoani Kigoma.
Zitto hakueleza ni sababu zipi zilizomlazimisha kujitoa Chadema zaidi ya kudai kuwa ni kutokana na migogoro ndani ya chama hicho.
“Ndugu zangu...
9 years ago
Mwananchi31 Aug
Sitta awajibu Ukawa, asema serikali itafufua ATC
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Serikali yapangua hoja za Zitto
Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo.
MUHONGO(UTETEZI WA SERIKALI)
Anaomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.
Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukraan kwa CAG, TAKUKURU na PCCB kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu.
Miaka ya 90 tulikuwa tuna upungufu wa umeme kutokana na...
10 years ago
Mtanzania16 Mar
Zitto: Kipengele kilichotumika kunifukuza Chadema kilitungwa kwa ajili yangu
Na Fredy Azzah
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, amevunja ukimya baada ya kuzungumzia tuhuma mbalimbali ambazo zimekuwa zikielezwa juu yake, ikiwamo usaliti ndani ya chama chake na hatima yake ya siasa baada ya kutimuliwa.
Katika mahojiano haya, zitto anatoa maelezo yote juu ya tuhuma dhidi yake.
Swali: Mwaka 2009, ulitaka kugombea uenyekiti wa Chadema, uamuzi huo ulikuwa ni wako mwenyewe ama kuna watu nyuma yako walikushawishi kufanya hivyo?
Jibu: Chadema nilivyoingia kwenye uongozi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_ENOqgV5RJk/VTdWHr8laJI/AAAAAAAHSdc/gXFoFqcDo10/s72-c/unnamed%2B(86).jpg)
FUBUSA ATANGAZA NIA KUGOMBEA JIMBO LA ZITTO KABWE KWA TIKETI YA CHADEMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-_ENOqgV5RJk/VTdWHr8laJI/AAAAAAAHSdc/gXFoFqcDo10/s1600/unnamed%2B(86).jpg)
Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Gombe school of Environment and Society (GOSESO) na mmiliki wa Gombe high school, Dkt Yared Fubusa ambaye pia ni kada wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ametangaza nia ya kugomba ubunge jimbo la Kigoma kaskazini kupitia chama hicho.
Akiongea na mtandao huu, Dkt Fubusa alisema kuwa ameamua kutangaza nia ya kugombea ubunge na kipaumbele cha awali ni kuboresha Elimu,huduma za afya,miundombinu.
Alisema vipaumbe...
10 years ago
Vijimambo09 Nov
Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” asema Zitto
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kabwe-May30-2014.jpg)
Baadhi ya tuhuma nimezipeleka kwenye vyombo vya dola ili zichunguzwe kwani zina vielelezo vya mahala pa kuanzia (kama...
10 years ago
Mwananchi22 Mar
Zitto ataja sababu za kujiunga ACT, asema hakuna kurudi nyuma
9 years ago
Bongo511 Sep
Update: Soundcity hamuwezi kututisha kwa lolote — Meneja wa P-Square awajibu!