Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Slaa akosoa uteuzi wakuu wa mkoa

Mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyotangazwa juzi na Rais Jakaya Kikwete yametajwa kuwa na malengo ya kisiasa, huku Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willbrod Slaa akikosoa kitendo cha kuhamishwa vituo vya kazi wakuu hao sita ndani ya mwezi mmoja, kwamba ni gharama kwa Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!

5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.

Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;

Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu Wakuu wanne wapya na kuhamisha mmoja.

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.com

Website : www.ikulu.go.tz              

Fax: 255-22-2113425


  


PRESIDENT’S OFFICE,

      STATE HOUSE,

              1 BARACK OBAMA ROAD,  

11400 DAR ES SALAAM.

Tanzania.

 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara kwa kuteua Makatibu...

 

9 years ago

CCM Blog

JK AFANYA UTEUZI MAKATIBU WAKUU WANNE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa  Ijumaa, Oktoba 23, 2015, amewateua Makatibu Wakuu wanne wapya wa wizara mbali mbali.

Aidha, Rais Kikwete amewateua Naibu Makatibu Wakuu wapya watano, amewateua Makatibu Tawala wa Mikoa wawili na pia amewahamisha Naibu Makatibu Wakuu wawili.

Kwa mujibu wa uteuzi huo, Rais Kikwete amemteua Ndugu Hab Mkwizu kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma; Profesa Elisante Ole Gabriel kuwa Katibu...

 

9 years ago

Mwananchi

Wadau waguswa uteuzi wa makatibu wakuu

Uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu wao uliotangazwa juzi na Rais John Magufuli, umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa uongozi na utawala nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA NA UTAMADUNI WA KUWAENZI VIONGOZI WAKUU WALIOUONGOZA MKOA HUO KWA NYAKATI TOFAUTI TANGU UHURU MWAKA 1961

Mkuu wa Mkoa wa Kagera wa sasa Mheshimiwa John V.K. Mongella ukimuaga aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Kagera wa 20  Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kwa jina maarufu Mulokozi.Tangu uhuru  wa iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania  mwaka 1961 miaka 53 ya uhuru mkoa wa Kagera umekuwa ukiongozwa na viongozi mbalimbali hasa katika nafasi ya  ukuu wa mkoa na kwa kipindi hicho chote hadi sasa tayari mkoa umeongozwa na wakuu wa mikoa wapatao 21 kwa vipndi  tofauti.

Viongozi hao  (Wakuu wa Mkoa)  waliowahi...

 

9 years ago

Dewji Blog

MSEMAJI WA SERIKALI: Uteuzi wa Wakuu wapya wa Wilaya uliofanywa na Rais ulizingatia Sheria,Kanuni na taratibu

mwambene

Mkurugenzi Idara ya Habari, Assah Mwambene (kulia) akionesha kitabu cha Katiba ya Tanzania kifungu kinachompa mamlaka Rais kufanya uteuzi ilikuboresha Serikali yake awapo madarakani. kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Vicent Tiganya. Mkutano huo umefanyika leo katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog).

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[DAR ES SALAAM] Kufuatia vyombo vya habari nchini kuripoti ...

 

11 years ago

Mwananchi

DK Slaa amtaka JK kuwawajibisha wakuu vyombo vya dola nchini

>Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa, amehitimisha ziara yake wilayani Igunga na kumtaka Rais Jakaya Kikwete kuwawajibisha Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Mkuu wa Jeshi la Polisi pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kutokana na sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili (OTU).

 

10 years ago

Vijimambo

Wakuu wa Mkoa wamtembelea na kumjulia hali Rais Kikwete

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa mikoa waliowawakilisha wenzao kwenda ikulu leo kumjulia hali na kumpa pole kufuatia upasuaji alifanyiwa mwezi uliopita nchini Marekani.(picha na Freddy Maro)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani