SMZ yajivunia kuimarika kwa barabara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Bara bara ya pili ya Amani hadi Mtoni baada ya kukamilika awamu ya mwisho ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kulia kwa Balozi Seif ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji na Naibu Wake Mh. Issa Ussi Gavu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanikiwa vyema katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hmiWbmmAb5I/VEeg33GYwgI/AAAAAAACtUk/Vl4lTbRcNkY/s72-c/New%2BPicture.png)
KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
![](http://3.bp.blogspot.com/-hmiWbmmAb5I/VEeg33GYwgI/AAAAAAACtUk/Vl4lTbRcNkY/s1600/New%2BPicture.png)
WIZARA YA FEDHA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUIMARIKA KWA MFUMO WA KUDHIBITI FEDHA HARAMU
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mwanachama mwanzilishi wa Umoja wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Kudhibiti Fedha Haramu (The Eastern and Southern Africa Anti - Money Laundering Group (ESAAMLG)) ulioanzishwa mwaka 1999, kwa lengo la kuweka mikakati ya pamoja ya kudhibiti fedha haramu na ufadhili wa ugaidi kwa nchi za Mashariki na Kusini...
9 years ago
Dewji Blog21 Aug
Tanzania na miaka 10 ya ukuaji wa kasi na kuimarika kwa sekta ya Mawasiliano
TCRA , MIAKA 10 YA UKUWAJI WA SEKTA YA MAWASILIANO, TANZANIA.doc
9 years ago
Michuzi21 Aug
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s72-c/UNGA%2B006.jpg)
BUNGE KUPIGIA KURA KATIBA MPYA NI ISHARA YA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA - MUKASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-MnYA9Vprszg/VDgna_36AvI/AAAAAAAAX7w/6s-GjrLilG8/s1600/UNGA%2B006.jpg)
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imesema kuwa mchakato wa kuandaa Katiba mpya ambayo imepitishwa na Bunge Maalum la Katiba hivi karibuni ni ishara ya wazi kuwa, Serikali imedhamiria kuongoza nchi kwa mujibu ya matakwa ya wananchi wake na kuzingatia Utawala wa Sheria. Kauli hiyo ilitolewa na Afisa wa Wizara ya Mambo...
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Uzazi wa mpango utekelezwe na familia kwa vitendo, ili kustawi vyema na kuimarika kiuchumi
Kaimu Katibu Tawala wa mkoa wa Singida, Aziza Mumba akikata utepe kuzindua nyota mpya ya kijani.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Aziza Mumba akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Singida wakati wa uzinduzi wa kampeni mpya ya nyota ya kijani kwenye viwanja vya peoples Mjini Singida.
Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Mussa Kimala akizungumza kwenye sherehe hizo.
Mwakilishi kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Martha Shekinyau akizungumza kwenye uzinduzi huo kwa niaba ya...
9 years ago
StarTV16 Dec
Polisi Iringa yajivunia kupungua kwa Matukio Ya Kujinyonga
Polisi mkoani Iringa limesema miongoni mwa mambo ya kujivunia ni pamoja na kufanikiwa kupunguza uharifu wa aina mbalimbali yakiwemo matukio ya kujinyonga ambayo yanatajwa kuwa ni desturi ya kabila la Wahehe.
Ulevi na hasira ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia ongezeko la matukio ya kujinyonga ambayo yanaainishwa kuwa ni aina ya ukatili unaodaiwa kufanywa na baadhi ya wenyeji wa mkoa wa Iringa na hivyo kujinyonga kuchukuliwa kama desturi ya kabila la Wahehe..
Wahehe ni miongoni mwa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/115.jpg)
STAR TIMES YAJIVUNIA MABORESHO YA HUDUMA ZAKE KWA WATEJA
11 years ago
Habarileo01 Jan
SMZ kufuta dhamana kwa wabakaji
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ipo katika mchakato wa kurekebisha sheria zake za mwenendo wa makosa ya jinai pamoja na kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary .
Kauli hiyo imekuja kufuatia hoja ya Mwakilishi wa Viti Maalumu Wanawake kutoka CCM Mgeni Hassan Juma aliyoiwakilisha katika Baraza la Wawakilishi inayoitaka Serikali kudhibiti na kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na...
11 years ago
Habarileo01 Aug
SMZ yatekeleza mipango ya Milenia kwa 80%
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kutekeleza Malengo ya Milenia kwa asilimia 80 hadi ifikapo mwakani 2015 ikiwamo kupunguza vifo kwa watoto pamoja na uandikishaji wa wanafunzi kwa elimu ya msingi.