SMZ kufuta dhamana kwa wabakaji
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ipo katika mchakato wa kurekebisha sheria zake za mwenendo wa makosa ya jinai pamoja na kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary .
Kauli hiyo imekuja kufuatia hoja ya Mwakilishi wa Viti Maalumu Wanawake kutoka CCM Mgeni Hassan Juma aliyoiwakilisha katika Baraza la Wawakilishi inayoitaka Serikali kudhibiti na kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na...
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 May
Watendaji DPP Z’bar wataka dhamana ifutwe kwa wabakaji
WANASHERIA kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) wametaka Serikali kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji kwa lengo la kupunguza matukio hayo ambayo yamekuwa yakidhalilisha watoto ikiwemo wanawake na wanaume.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar05 Oct
Kinana anawadalali Wazanzibari kwa wabakaji
Na Rashid Abdallah “Ndani ya miaka 14 , trilioni nne nukta 4 dola za Kimarekani zimetumika katika vita dhidi ya ugaidi, lakini mamia na maelfu ya watu wamekufa. Kati ya mwaka 2000 na 2014, vifo vinavyosababishwa […]
The post Kinana anawadalali Wazanzibari kwa wabakaji appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Maisha jela kwa wabakaji Misri
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Real kufuta uteja kwa Liverpool
10 years ago
Habarileo06 May
Serikali kufuta miliki za ardhi kwa vigogo
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema Serikali itafuta umiliki wa ardhi kwa vigogo waliojilimbikizia maeneo.
10 years ago
Dewji Blog05 Jan
SMZ yajivunia kuimarika kwa barabara
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Bara bara ya pili ya Amani hadi Mtoni baada ya kukamilika awamu ya mwisho ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kulia kwa Balozi Seif ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji na Naibu Wake Mh. Issa Ussi Gavu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefanikiwa vyema katika...
11 years ago
Habarileo01 Aug
SMZ yatekeleza mipango ya Milenia kwa 80%
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imefanikiwa kutekeleza Malengo ya Milenia kwa asilimia 80 hadi ifikapo mwakani 2015 ikiwamo kupunguza vifo kwa watoto pamoja na uandikishaji wa wanafunzi kwa elimu ya msingi.
9 years ago
Habarileo22 Dec
IGP akanusha kufuta askari kwa madai ya vyeti feki
MKUU wa Polisi nchini Inspekta Jenerali (IGP) Ernest Mangu amekanusha kufutwa kazi kwa askari kadhaa wanaodaiwa kuwa na vyeti feki kama iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii juzi na akasema Jeshi lake linamtafuta mtu ambaye amesambaza taarifa hizo alizoita za uzushi.
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Zao la ufuta limeanza kufuta umaskini kwa wakulima vijijini