Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana anawadalali Wazanzibari kwa wabakaji

Na Rashid Abdallah “Ndani ya miaka 14 , trilioni nne nukta 4 dola za Kimarekani zimetumika katika vita dhidi ya ugaidi, lakini mamia na maelfu ya watu wamekufa. Kati ya mwaka 2000 na 2014, vifo vinavyosababishwa […]

The post Kinana anawadalali Wazanzibari kwa wabakaji appeared first on Mzalendo.net.

Mzalendo Zanzibar

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

SMZ kufuta dhamana kwa wabakaji

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema ipo katika mchakato wa kurekebisha sheria zake za mwenendo wa makosa ya jinai pamoja na kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakary .

Kauli hiyo imekuja kufuatia hoja ya Mwakilishi wa Viti Maalumu Wanawake kutoka CCM Mgeni Hassan Juma aliyoiwakilisha katika Baraza la Wawakilishi inayoitaka Serikali kudhibiti na kupambana na matukio ya udhalilishaji wa kijinsia na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Maisha jela kwa wabakaji Misri

Wananume saba wafungwa maisha jela na wengine 2 kupata kifungo cha miaka 20 au zaidi kila mmoja kwa kuwadhulumu kingono wanawake

 

11 years ago

Habarileo

Watendaji DPP Z’bar wataka dhamana ifutwe kwa wabakaji

WANASHERIA kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP) wametaka Serikali kufuta dhamana kwa watuhumiwa wa makosa ya ubakaji kwa lengo la kupunguza matukio hayo ambayo yamekuwa yakidhalilisha watoto ikiwemo wanawake na wanaume.

 

11 years ago

Mwananchi

Hongera kwa Wazanzibari kuwahi fursa

Siku moja kabla na baada ya mwaka mpya nilikuwa Unguja. Kuna mazuri na yanayotia moyo nayaona yakifanywa na Watanzania wenzetu kule katika kuboresha utalii wa ndani na kuvutia watalii wa kutoka nje.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto.

WATU tisa wa familia moja wenye asili ya Ziwani, Pemba wamekufa kwenye ajali ya moto ulioteketeza nyumba yao jijini Dar es Salaam, huku baba wa familia akinusurika kwa kuwa alikuwa amekwenda msikitini kuswali. Nyumba hiyo iliyoteketea […]

The post Wazanzibari 9 wa familia moja wafa kwa moto. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Habarileo

‘Toeni ushahidi wa wabakaji mahakamani’

MRATIBU wa mtandao wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji kijinsia Jeshi la Polisi Makao Makuu, Hasina Ramadhan Toufik ameitaka jamii kutoa ushahidi mahakamani kwa watu wanaotuhumiwa kubaka ili kukomesha matukio hayo.

 

9 years ago

Mwananchi

Wabakaji wapewe adhabu kali

Suala la kuwabaka wanafunzi haliko tu Kenya bali pia Tanzania na nchi nyingi za Afrika. Tunayo mifano  mingi ya watu wazima wenye uwezo wa kifedha na pia wenye madaraka makubwa ya kiofisi wanaowarubuni wanafunzi  kwa kuwapa pesa kidogo au vitu vidogo vidogo ili  wafanye nao ngono. Hivi karibuni wanafunzi wa sekondari nchini Siera Leone, nchi iliyokumbwa na ugonjwa wa ebola, walikubwa na dhahama hii wakati wakiwa nyumbani baada ya shule kufungwa kwa kipindi kirefu. Wasichana hawa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wabakaji waongezwa adhabu Tunisia

Polisi wawili nchini Tunisia walioshitakiwa kwa kumbaka mwanamke ndani ya gari la polisi, wameongezewa adhabu katika kesi iliyowashtua wengi.

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka wabakaji wahukumiwe kifo

MBUNGE wa Bunge la Tanzania kupitia chama cha CUF, Moza Abeid Saidy ameiomba serikali kuweka adhabu ya kifo kwa wabakaji ili liwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani