Soko huru kudhibiti viwango vya Rand
Benki kuu ya Afrika Kusini imesema kuwa soko huru la nchi hiyo litaendelea kubaini viwango vya sarafu ya rand.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziVETA WAMETAKIWA KUHAKIKISHA WANAANDAA WANAFUNZI WA HOTELI NA UTALII WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA ILI KUKABILIANA NA USHINDANI WA SOKO ULIOPO
Na Woinde Shizza, Arusha Baraza la ushauri la chuo cha mafunzo ya hoteli na utalii (VHTTI) limetakiwa kuhakikisha linaandaa wanafunzi vyema na wenye viwango vya kimataifa ili kukabiliana na ushindani mkubwa ulioko katika sekta ya hoteli na utalii duniani. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa wakati akizindua baraza hilo jana ndani ya chuo cha hoteli na utalii cha VHTTI kilichopo nje kidogo ya jiji la Arusha . Alisema kuwa kutokana na changamoto kubwa ya hoteli...
11 years ago
Habarileo15 Mar
Taasisi za usafiri zatakiwa kuweka viwango kudhibiti ajali
MAMLAKA zinazosimamia usafiri wa majini na nchi kavu nchini zimetakiwa kudhibiti vyombo vya majini na kuweka viwango kwa ajili ya kupunguza ajali za baharini.
5 years ago
MichuziKUDHIBITI UTOROSHWAJI WA MADINI SOKO LAZINDULIWA MKOANI NJOMBE
Na Amiri kilagalila, NjombeSERIKALI mkoa wa Njombe imezindua soko la uuzaji wa madini ya dhahabu na vito kwa nia ya kudhibiti wimbi la utoroshaji wa madini uliokuwa unafanywa na wachimbaji waliokuwa wakikwepa kulipa mapato ya serikali.
Akizungumza katika uzinduzi huo mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amesema kuwepo kwa soko hilo la madini itasaidia wachimbaji hao kutumia fursa na njia zilizosahihi kulipa mapato kwa serikali.
“Kuanzisha soko la madini katika mkoa wetu inakuwa ni...
Akizungumza katika uzinduzi huo mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka amesema kuwepo kwa soko hilo la madini itasaidia wachimbaji hao kutumia fursa na njia zilizosahihi kulipa mapato kwa serikali.
“Kuanzisha soko la madini katika mkoa wetu inakuwa ni...
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Viwango vya juu vya joto vitakumba Dunia
Miaka miwili inayokuja itakuwa na joto la juu zaidi kwa mujibu wa idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini Uingereza
5 years ago
MichuziTANZANIA YASHIRIKIANA NA FAO KUDHIBITI MAGONJWA YA MIFUGO KUFIKIA SOKO LA KIMATAIFA.
Na. Edward Kondela Serikali imesema itahakikisha afya ya mifugo nchini inazidi kuimarika kwa Tanzania kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mifugo ukiwemo wa miguu na midomo unaoathiri ng’ombe (FMD), ili nchi iweze kuuza nyama na mifugo yake katika masoko mbalimbali ya kimataifa. Akizungumza leo (12.03.2020) ofisini kwake jijini Dodoma, alipokutana na mwakilishi wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Mkoa wa Dodoma Dkt. Moses Ole-Neselle, Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi...
5 years ago
BBCSwahili02 May
Virusi vya corona: Je ni kwanini inakua vigumu kulinganisha viwango vya corona kimataifa?
Je unapaswa kuwa unalinganisha takwimu za Covid-19 kati ya nchi mbali mbali?
10 years ago
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania