Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Somo la Jaji Ramadhan kwa Wajumbe wa Katiba

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba amemaliza kazi ya kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba kwa Wajumbe wa Bunge la Katiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Ramadhani awapa somo wajumbe wa katiba

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Augustino Ramadhani, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kujadili vipengele vya rasimu kwa kuviboresha badala ya kulumbana. Jaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Wamchangia Jaji Warioba nauli akatoe somo la Katiba

Wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro wamechanga Sh200,000 za nauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili aweze kufika jimboni humo kutoa somo la Katiba

 

11 years ago

Michuzi

SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA

Mmoja  kati ya  waumini  wa dini ya Kiislam  wa madhehebu ya Answaar Sunna iliyofanyika katika  uwanja  wa Mwembetogwa akitoka kuswali  Swala ys Idd leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa Sheikh Dhulkifilo Omari  kulia akiwa na baadhi ya  waumini mara baada ya  ibada  ya Idd el Fitr   leo katika  uwanja  wa Mwembetogwa  mjini  Iringa..............................................................................Na matukiodaimablog
Sheikh wa  msikiti  wa  Hidaya katika manispaa ya ...

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. OTHMAN CHANDE ATOA SOMO KWA WAANDISHI WA HABARI

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama leo jijini Dar es salaam.Rais wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari namna wanavyoweza kuandika habari za Mahakama kwa kuzingatia weledi wa taaluma zao.Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jaji Kiongozi atoa somo kwa watumishi wa mahakama, vyama vya waajiri na waajiriwa

Mahakama - 1

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akifungua mkutano maalum wa watendaji wa Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi, Chama cha waajiri Tanzania (ATE) na Wafanyakazi (TUCTA) leo jijini Dar es salaam. Mkutano huo unalenga kuangalia na kutafuta majibu ya changamoto mbalimbali zinazohusu maslahi ya wafanyakazi na mashauri yanayopelekwa mahakama Kuu Divisheni ya Kazi nchini.

Mahakama - 5

Jaji Kiongozi wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Shaaban Lila akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama

Mahakama -1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.

Mahakama -2

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...

 

11 years ago

Michuzi

JAJI AUGUSTINEO RAMADHANI AWATAKA WAJUMBE KUJADILI RASIMU KWA MAKINI

Makamu mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Augustino Ramadhani akiongea jijini Dar es Salaam jana Aprili 3, 2014 katika wa mjadala kuhusiana na umuhimu wa Tanzania kuwa na katiba mpya ya kipekee, Mjadala ulioandaliwa na asasi isiyo ya kiserikali ya The  Open Society Initiative  For  Eastern African Tanzania  (OSIEA). Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Mjadala huo, Profesa Chris Maina, pamoja na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Ayoub Rioba. Kamishana wa zamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani