Wamchangia Jaji Warioba nauli akatoe somo la Katiba
Wananchi wa Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro wamechanga Sh200,000 za nauli ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba ili aweze kufika jimboni humo kutoa somo la Katiba
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Dec
Jaji Warioba awapa somo UDSM
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewataka wanafunzi na walimu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuzitambua kazi zilizofanywa na viongozi wao waliomaliza muda kwa kuwapa heshima kutokana na mabadiliko waliyofanya.
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Jaji Ramadhani awapa somo wajumbe wa katiba
ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Augustino Ramadhani, amewataka wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kujadili vipengele vya rasimu kwa kuviboresha badala ya kulumbana. Jaji...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Somo la Jaji Ramadhan kwa Wajumbe wa Katiba
10 years ago
Vijimambo23 Oct
Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya
![](http://www.ippmedia.com/images/frontend/headline_bullet.jpg)

![](http://www.bongocelebrity.com/wp-content/uploads/2014/04/jajiwarioba.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hali ya mambo yanayoendelea bungeni mjini Dodoma, haoni matumaini ya kupatikana Katiba mpya na hali hiyo imemkatisha tamaa. Wakati...
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Nape atofautiana na Jaji Warioba Bunge la Katiba
10 years ago
Vijimambo07 Oct
Jaji Warioba: Siendi Dodoma makabidhiano ya Katiba
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2477566/highRes/845323/-/maxw/600/-/1559uc9/-/warioba.jpg)