Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sony Pictures yapanga kuja na filamu ya Spider-Woman

Kampuni ya Sony Pictures imepanga kuanza kutumia waigizaji wa kike katika filamu ya Spider Man, yaani kupata Spider- Woman. Filamu hiyo ya Spider- Woman itatoka mapema mwaka 2017. Filamu mpya ya Spider-Man inatarajiwa kutoka Nov. 11, 2016. Katika filamu hiyo maadui wote waliowahi kuigiza kwenye filamu hiyo wataungana kwa pamoja kwenda kuliteketeza jiji la New […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

GSMArena.Com

Sony S20A pictures surface, the mystery deepens - GSMArena.com news

Sony S20A pictures surface, the mystery deepens - GSMArena.com news  GSMArena.comSony S20A entry-level phone with full specs spotted on TENAA  gizmochinaView Full coverage on Google News

 

10 years ago

BBCSwahili

Sony kuangazia filamu na burudani

Kampuni ya Sony imetangaza wiki hii kwamba itajiondoa katika michezo ya kielektroniki katika idara zake za sauti na video

 

10 years ago

BBCSwahili

SONY:Tutaonyesha filamu ya Kim Jong-un

Kampuni ya Sony Pictures imesema kuwa inatafuta njia mbadala za kuonyesha filamu ya ucheshi 'The Interview'

 

10 years ago

Bongo Movies

Irene Paul Kuja na Filamu ya Shukrani

Mshindi wa tuzo ya muigizaji bora wa kike 2015, Irene Paul ameandaa filamu kama zawadi  kwa mashabiki wa filamu  kwa kutambua kazi anazozifanya  na kumpigia kura nyingi zilizompa ushindi.

Akizungumza na Gazeti la Nipashe Irene alisema ana washukuru Watanzania kwa kumpokea tangu alipoingia  katika uigizaji lakini pia ameamua kutenfgeneza filamu ambayo bado hajaipa jina ikiwa ni kwaajili ya kurudisha hisani kwa wanaomkubali.

Irene ambaye alishinda tuzo hiyo ya muigizaji bora wa kike kupitia...

 

9 years ago

Bongo5

Shamsa Ford kuja na kampuni yake ya filamu

Shamsa Ford amesema anatarajia kufungua kampuni yake ya filamu baada ya kumaliza mkataba wake na kampuni ya Jerusalem Films ya Jacob ‘JB’ Stephen. Muigizaji huyo ameiambia Bongo5 jana kuwa kwa sasa anaweza kusimama yeye kama yeye akiwa na kampuni yake ya kuzalisha filamu. “Kwanza kabla sijamaliza mkataba na Jerusalem Films kuna filamu mpya inatoka inaitwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Sony wasitisha kutoa filamu ya komedi ‘The Interview’ iliyohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

Kampuni ya Sony Pictures Entertainment imesitisha kutoa filamu yake ya komedi, The Interview ambayo inazungumzia mkasa wa kutunga unaohusu mpango wa kumuua kiongozi wa Korea Kusini, Kim Jong-un. Kampuni hiyo ilikuwa ifanye uzinduzi wa filamu hiyo siku ya Christmas lakini hackers walitishia kufanya shambulizi kama la 9/11 kwenye majumba ya sinema ambayo yangeionesha nchini Marekani. […]

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Kuja na Filamu ya ‘Watani wa Jadi’ Wazee Tupu Ndani

Muigizaji na muongozaji wa filamu ambae pia anamiliki kampuni yake ya utenegezaje wa filamu ya Jerusalem, Jacob Stephen ‘JB’ amesema kwasasa wanafanya kazi mpya inayoitwa Watani wa Jadi ambayo itasheheni waigizaji wazee ambao ni wakali kwenye tasnia.

“New Project Yetu Inaitwa Watani Wa Jadi,Cast; Mzee Chimbeni Herry, Mzee Halikuniki,Mzee Chepuo,Bi Hindu Na Msichana Mmoja Bado Sijampata.Ni Movie Ya Wazee Tuone Swaga Zao.Itafanyika Zanzibar Kuanzia Wiki Ijayo”. JB alieleza.

Ngoja tuisubiri...

 

9 years ago

Bongo5

Nick wa Pili kuja kuja na wimbo ‘Baba Swalehe’

nikki wa piliRapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili anatarajia kuachia wimbo uitwao Baba Swahele. Amedai kuwa wimbo huo unazungumzia mwanaume bachelor ‘anayeishi ndani ya ndoa.’ “Baba Swalehe ni mtu ambaye anaishi kibachela ndani ya ndoa,” Nick amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM. “Wimbo ukitoka watajua unawezaje kuishi ndani ya ndoa lakini ukiwa unaishi kibachela? […]

 

10 years ago

BBC

VIDEO: Spider-Man's new nemesis: Cairo living

Superhero struggles to cope with Cairo's daily grind

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani