SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI
SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI KATIKA KAMPENI YAO YA ‘NIJALI, MCHANGO WAKO TUMAINI LA MAISHA YANGU’ KWA AJILI YA WATOTO WA SOS VILLAGES ITAKAYOFANYIKA TAREHE 24/10/2014 PALE HOTEL YA SERENA MJINI ZANZIBAR KUANZIA SAA MOJA USIKU.
MGENI RASMI ATAKAWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR MOHAMMED GHARIB BILAL, TICKET ZINAUZWA SHILLING LAKI MBILI ZA KITANZANIA AU SHNG MILION MBILI KWA MEZA YA WATU KUMI, PIGA SIMU NO 0756-860231...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi21 Oct
SOS VILLAGES IKISHIRIKIANA NA MONTAGE INAWALETEA CHAKULA CHA HISANI KATIKA KAMPENI YAO YA ‘NIJALI
MGENI RASMI ATAKAWA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR MOHAMMED GHARIB BILAL, TICKET ZINAUZWA SHILLING LAKI MBILI ZA KITANZANIA AU SHNG MILION MBILI KWA MEZA YA WATU KUMI, PIGA SIMU NO ...
11 years ago
Dewji Blog20 Jul
Kampuni ya Montage yafutarisha Waoto Yatima wa Kituo cha SOS Village
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Montage ya jijini Dar es salaam Bi. Teddy Mapunda akiwagawia watoto yatima wa kituo cha kulelea watoto cha SOS Village kikilchoko Sinza barabara ya Sam Nujoma alipowakaribisha kwa futari kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizoko Kindondoni juzi ikiwa ni moja ya maelengo ya kampuni hiyo kuwakumbuka watoto yatima na kuwakarimu wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Anitha Pangani mfanyakazi wa kampuni ya Montage akiwagawia watoto chakula wakati wa futari...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/4a.jpg?width=650)
KAMPUNI YA MONTAGE YAFUTARISHA WAOTO YATIMA WA KITUO CHA SOS VILLAGE
10 years ago
Vijimambo14 Mar
10 years ago
Vijimambo21 Jan
10 years ago
Michuzi20 Aug
10 years ago
Dewji Blog10 Oct
Dkt. Bilal ashiriki hafla ya chakula cha jioni cha hisani kuchangia mfuko wa kampeni wa jitolee kwa ajili ya kinamama wa Afrika, Jijini Dar
Makamua wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Chakula cha Hisani kwa ajili ya kuchangia Mfuko wa Kampeni ya Jitolee kwa ajili ya Akinamama wa Afrika, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jana usiku Oktoba 9, 2014 jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti, Mkurugenzi Mtendaji wa Push Mobile, Freddie Manento, wakati wa hafla ya Chakula...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s72-c/01.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI CHA HISANI KUCHANGIA MFUKO WA KAMPENI WA JITOLEE KWA AJILI YA KINAMAMA WA AFRIKA, JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-lU-1SyXaH_c/VDe1Y0KFftI/AAAAAAADJPk/tvBZvbqdfL0/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-CcL3X1rcI-A/VDe1n9ur4AI/AAAAAAADJQM/dCTsGfv2gt8/s1600/1.jpg)
11 years ago
MichuziWAFANYE WATABASAMU WATEMBELEA WATOTO WA SOS CHILDREN'S VILLAGES