Southampton yalenga Ligi ya Mabingwa
Southampton ina malengo ya kushiriki michuano ya klabu bigwa ndani ya miaka mitano kwa mujibu wa mkurugenzi mtendaji Les Reed.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Feb
Ligi ya Mabingwa 2013-2014
Hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya 2013/14 itaendelea kesho na keshokutwa.
11 years ago
Mwananchi16 May
CDA chupuchupu Ligi ya Mabingwa
>Klabu ya soka ya CDA ya Dodoma imenusurika kichapo mbele ya African Sports ya Tanga, huku Kiluvya FC ikiendeleza kugawa pointi katika Ligi ya Mabingwa wa mikoa inayoendelea kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/CNbez2hWIAA8noq-1.jpg)
MAKUNDI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Kundi A
1. Paris St-Germain
2. Real Madrid
3. Shakhtar Donetsk
4. Malmö FF
Kundi B
1. PSV Eindhoven
2. Manchester United
3. CSKA Moscow
4. Wolfsburg Kundi C
1. Benfica
2. Atlético Madrid
3. Galatasaray
4. Astana Kundi D
1. Juventus
2. Manchester City
3. Sevilla
4. B.Mö’gladbach Kundi E
1. Barcelona
2. Bayer Leverkusen
3. Roma
4. BATE Borisov
Kundi F
1. Bayern Munich
...
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
10 years ago
GPL9 years ago
Habarileo13 Dec
Yanga yapangwa na mchekea Ligi ya Mabingwa
SHIRIKISHO la soka Afrika (CAF) jana lilitoa ratiba ya michuano ya kimataifa mwakani ambapo Yanga imepangwa kuanza na Cercle de Joachim ya Mauritius. Kwa mujibu wa ratiba hiyo, Yanga inayoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, itaanza hatua ya awali.
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Ligi ya mabingwa sare zatawala ufunguzi
Mechi mbili za kwanza katika hatua ya kumi na sita bora ya michuano ya ligi ya mabingwa ulaya zimemalizika kwa sare.
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
10 years ago
Mwananchi16 Feb
LIGI YA MABINGWA: Azam yaizima El Merreikh
>Mabingwa wa Tanzania Bara, Azam FC wameanza kwa kishindo Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuichapa El Merreikh kwa mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania