Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spika Ndugai aongoza maelfu kuuaga mwili wa Mkurugenzi wa Bunge

Marehemu Hellen Stephen Mbebha wakati wa uhai wake.Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) akiweka shada la maua juu ya kaburi la aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi Shughuli za Bunge Marehem Hellen Mbebha.Katibu wa Bunge la Tanzania Dkt. Thomas Kashilillah akitoa heshima za mwisho kwa kwa mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi Msaidizi Shughuli za Bunge Marehem Hellen Mbebha ambapo mazishi yake yalifanyika katika kijiji cha Kung’ombe wilayani Bunda mkoa wa Mara tarehe 01/12/2015. Aliyesimama ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA BUNGE LA 11 MKUTANO WA 19 KIKAO CHA KWANZA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia  kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, KAMISHNA TRA WALIPOTEMBELEA SHULE YA WASICHANA BUNGE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia) akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi kabla ya kutembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha tano na sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kushoto ni Kamishna Mkuu wa TRA, Dkt. Edwin Mhede, Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Phillip Mipango na Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA VIONGOZI MKOA WA DODOMA KUKAGUA UJENZI WA SHULE YA WASICHANA YA BUNGE MKOANI DODOMA

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, kamati ya ujenzi wa Shule wakati walipotembelea na kujionea ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Bunge ya kidato cha Tano na Sita iliyopo Kikombo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Patrobas Katambi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Ndg. Godfrey Kunambi, Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Dkt. Binilith Mahenge na Katibu Tawala Mkoa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete aongoza mamia kuuaga mwili wa Dk Shija

Mwili wa aliyekuwa katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA), Dk William Shija aliyefariki Oktoba 4 katika Hospitali ya Charring Cross mjini London, Uingereza, umeagwa jana jijini Dar es Salaam na mamia ya waombolezaji.

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA BABA MZAZI WA WAZIRI SIMBACHAWENE


Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, Marehemu Boniface Simbachawene , wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA DK.EMMANUEL MAKAIDI VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kupitia mwamvuli wa Ukawa, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa umoja huo, Dk. Emmanuel Makaidi wakati wa ibada ya kuuaga iliyofanyika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo mchana. Katika ibada hiyo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali walihudhuria.Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye ibada hiyo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni wakati wakienda kutoa...

 

9 years ago

Habarileo

Ndugai Spika wa Bunge la 11

MBUNGE wa Kongwa mkoani Dodoma, Job Yustino Ndugai (55) ndiye Spika mpya wa Bunge atakayeongoza Bunge la 11 lililoanza mkutano wake wa kwanza jana. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), alichaguliwa kwa kishindo, akitwaa nafasi hiyo baada ya kuwashinda wagombea wengine saba kutoka vyama vya siasa kwa kupata asilimia 70 ya kura zote zilizopigwa.

 

9 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE LA 11 NI JOB NDUGAI

Ashinda kura kwa asilimia 70 Ndugu Job Ndugai amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushinda kura 254, Katika uchaguzi ambao wapiga kura walikuwa 365 zilizoharibika kura 2. .

 

9 years ago

Mwananchi

Job Ndugai ndiye Spika wa Bunge la 11

Mbunge wa Kongwa (CCM) Job Ndugai ameshinda kiti cha Uspika kwa kura 264 sawa na asilimia 70 na hivyo kuwa Spika wa Bbunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani