SSEBO AJIUNGA EFM
![](http://api.ning.com:80/files/EiPRnn58uVn-cmGD*dXiNzX5XG2J1yPRszAwOpz8MXB0-maWR-*TpMKNtzPgixefUVY8lOpEg6jFMOr-*t8rZVcUWj4-XD0g/Ssebo.jpg?width=650)
Dennis Busulwa a.k.a Ssebo. Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo amejiunga na Radio ya Efm ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini. Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-q2ZVjwUXDcU/VHD5TCZY1XI/AAAAAAAGy9U/gBHqngyjycA/s72-c/images.jpg)
mtangazaji wa efm dennis ssebo hatimaye ajiunga na twitter
![](http://3.bp.blogspot.com/-q2ZVjwUXDcU/VHD5TCZY1XI/AAAAAAAGy9U/gBHqngyjycA/s1600/images.jpg)
Alipo ulizwa na Globu ya Jamii kwanini ameamua kujiunga, Ssebo alijibu, "Radio yangu ya EFM na hususani Manager wa Radio, Bwana Geoffrey Ndawula amenifungua macho juu ya faida za twitter,
"Hata hivyo najiunga na twitter tu. Sintojiunga...
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
SSebo ajiunga E fm
Mtangazaji maarufu nchini wa vipindi vya Radio na Television Dennis Busulwa a.k.a Ssebo (pichani)amejiunga na Radio ya E FM ambayo imekwishajizolea umaarufu mkubwa jijini Dsm kwa kipindi kifupi tu kutokana na staili yake tofauti ya urushaji matangazo nchini.
Ssebo mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano kwenye vituo mbalimbali vya Radio na TV amejizolea sifa na mashabiki lukuki katika tasnia hii ya utangazaji kutokana na staili na vituko vyake awapo hewani.
“Mashabiki wangu watarajie...
9 years ago
Michuzi02 Dec
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Curbishley ajiunga na Fulham
10 years ago
BBCSwahili19 May
Obama ajiunga na Twitter
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Mfadhili Chadema ajiunga ACT
MFADHILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jimbo la Musoma Mjini, Dk. Eliud Tongola, amejiengua chama hicho na kujiunga na ACT-Wazalendo.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana na ACT –Wazalendo, chama hicho kimekiri Dk. Tongola kujiunga nacho.
Kwa takriban miaka minne alikuwa akilipia pango la ofisi za Chadema jimboni humo.
Dk. Tongola alisema kilichomtoa Chadema ni kuona viongozi wakiwa na wagombea wao mfukoni.
Alisema mchakato wa kuchukua...
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Diego Costa ajiunga na Chelsea
9 years ago
BBCSwahili10 Nov
Obama hatimaye ajiunga na Facebook
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Mjumbe wa CCM ‘ajiunga’ Ukawa