STAILI YA ‘PUSHAPU’ YA MAGUFULI YASHIKA KASI!
![](http://api.ning.com:80/files/x93ABI42iFVZNFH16fgRk3QwnrgAxJhqOqsIWPvJdrAJsy2mrSr7k5d0ZknscxjQ306QCp7Kp4HwWRLhIH9tMOhxQfVh5qEB/pushap.jpg?width=650)
Dustan Shekidele, Morogoro Jambo limezua jambo! Staili ya kupiga ‘pushapu’ iliyoasisiwa na mgombea wa nafasi ya urais kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli ‘JM’ alipokuwa akijinadi kwenye kampeni zake katika Viwanja vya Kayanga wilayani Karagwe, Kagera hivi karibuni inazidi kushika kasi kila kona ya nchi. Staa wa filamu Ray akipiga Push up na wasanii wenzake. Wakiwa mkoani hapa wikiendi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mapigano yashika kasi Syria
9 years ago
Habarileo19 Nov
Bomoabomoa Dar yashika kasi
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakishirikiana na Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana iliendesha bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa bila kufuata taratibu za ujenzi katika Manispaa hiyo.
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Magufuli aibuka na pushapu
*Asema ana nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli
Na Bakari Kimwanga, Karagwe
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ametoa mpya baada ya kuibuka na staili mpya ya kuomba kura kwa mtindo wa kupiga pushapu akiwa jukwaani.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuomba kura, huku akisema ana nguvu za kuwatumikia kwa dhati na kuomba aoneshe jukwaani kama ana nguvu kweli.
Dk. Magufuli aliibuka na mtindo huo jana katika mkutano wake wa pili wa kampeni mjini Kagarwe mkoani...
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Michauno ya vijana Kriket yashika kasi
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Vita dhidi ya ujangili yashika kasi
NA WILLIAM SHECHAMBO
JITIHADA za serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ujangili nchini, zimechukua sura mpya baada ya kukabidhiwa helkopta na Taasisi ya Howard Buffet Foundation ya Marekani, kwa ajili ya shughuli hiyo.
Helikopta hiyo ni moja kati ya ahadi alizowahi kuzitoa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu kwa serikali, kama jitihada zinazofanywa na wizara yake kwa kushirikiana na wadau katika kuhifadhi wanyamapori na maliasili.
Makabidhiano ya helikopta hiyo yalifanyika...
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Maandamano yashika kasi nchini Venezuela
11 years ago
Tanzania Daima17 Jan
Kesi ya Suma JKT yashika kasi
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imesema Februari 5, mwaka huu itatoa uamuzi wa kuwaona Kanali wa Jeshi la Kujenga Taifa, Ayoub Mwakang’ata na wenzake wanaokabiliwa na makosa...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Mauaji ya watuhumiwa yashika kasi Mbeya
UTAMADUNI mbovu wa kujichukulia sheria mikononi umezidi kushika kasi mkoani Mbeya baada ya watu wawili kuuawa juzi katika matukio mawili tofauti.
11 years ago
Tanzania Daima12 Jan
Maandalizi TFCA 2013 yashika kasi
MAANDALIZI ya hafla ya utoaji tuzo kwa makocha wa soka Tanzania ‘Tanzania Football Coaches Awards kwa mwaka jana (TFCA 2013), zinazotarajiwa kutolewa mapema Machi 2014 jijini Dar es Salaam, yanaendelea...