Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli aibuka na pushapu

g2*Asema ana nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli

Na Bakari Kimwanga, Karagwe

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ametoa mpya baada ya kuibuka na staili mpya ya kuomba kura kwa mtindo wa kupiga pushapu akiwa jukwaani.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuomba kura, huku akisema ana nguvu za kuwatumikia kwa dhati na kuomba aoneshe jukwaani kama ana nguvu kweli.

Dk. Magufuli aliibuka na mtindo huo jana katika mkutano wake wa pili wa kampeni mjini Kagarwe mkoani...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Pushapu za Magufuli zahamia Ligi Kuu

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga JerryTegete, amesema aina ya ushangiliaji wao wa timu yake ya Mwadui FC waliouonesha juzi walipocheza na Yanga, wameuiga kwa mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, aliyekuwa akipiga pushapu katika baadhi ya mikutano yake.

 

9 years ago

GPL

STAILI YA ‘PUSHAPU’ YA MAGUFULI YASHIKA KASI!

Dustan Shekidele, Morogoro  Jambo limezua jambo! Staili ya kupiga ‘pushapu’ iliyoasisiwa na mgombea wa nafasi ya urais kwa ‘leseni’ ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli ‘JM’ alipokuwa akijinadi kwenye kampeni zake katika Viwanja vya Kayanga wilayani Karagwe, Kagera hivi karibuni inazidi kushika kasi kila kona ya nchi. Staa wa filamu Ray akipiga Push up na wasanii wenzake. Wakiwa mkoani hapa wikiendi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgambo yawapigia ‘pushapu’ Mtibwa

KOCHA Mkuu wa timu ya Mgambo Shooting ya Tanga, Bakari Shime, amesema kwa sasa wanajipanga kwa mechi yao dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro itakayochezwa Jumamosi wakitaka kushinda kuzidi kujiweka...

 

9 years ago

Mwananchi

Washindana kupiga ‘pushapu’ mbele ya Samia

Wanaume kadhaa wa eneo la Sirari, jana walishindana kupiga ‘pushapu’ mbele ya mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan baada ya kuvutiwa na sera zake.

 

9 years ago

Raia Mwema

Kila mtu akipiga ‘pushapu’, uchumi wetu utapaa

NIMESOMA kwa makini maelezo ya mwandishi Ben Saanane kwenye matoleo yaliyopita ya gazeti hili.

Ezekiel Kamwaga

 

11 years ago

GPL

KAJALA AIBUKA...

Na Waandishi Wetu
MIEZI tisa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kumhukumu staa wa filambu za Bongo, Kajala Masanja kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni 13 kwa kosa la utakatishaji fedha na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kumlipia hivyo kuwa huru, hali ya maisha ya msanii huyo imebadilika ghafla na sasa ameibuka katika utajiri wenye maswali na majibu. Kajala Masanja. Chanzo makini...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dudubaya aibuka na ‘Wakaka’

BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, ameibuka na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ‘Wakaka’. Dudubaya alishawahi kutamba na...

 

11 years ago

GPL

KIJANA APOTEA AIBUKA...

Stori: Timothy Itembe Tarime
KIJANA Kenedy Onyango Augustine (22),  mkazi wa Kitongoji cha Nyambogo Shuleni, Kata ya Kitembe wilayani Rorya mkoani Mara aliyepotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Kijana Kenedy Onyango Augustine aliyedaiwa kupotea kimiujiza amerudi nyumbani akiwa hai baada ya kudaiwa kuwa alikuwa amechukuliwa msukule. Baba mzazi wa kijana huyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani