KAJALA AIBUKA...
![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-7662m3XNPQhhhT9bmqQ60dr6ErFvrlOUq-kiXAL7SVxREa*GiFlLeg013OaKm7Y6tfNKzpIocKL11Zly6C2bhn/kajala.jpg?width=650)
Na Waandishi Wetu MIEZI tisa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kumhukumu staa wa filambu za Bongo, Kajala Masanja kifungo cha miaka mitatu jela au faini ya shilingi milioni 13 kwa kosa la utakatishaji fedha na Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kumlipia hivyo kuwa huru, hali ya maisha ya msanii huyo imebadilika ghafla na sasa ameibuka katika utajiri wenye maswali na majibu. Kajala Masanja. Chanzo makini...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Manji aibuka Yanga
MWENYEKITI wa Yanga, Yusuph Manji, ameibuka na kudai kuwa kutokuwepo kwake nchini ndiyo sababu ya kutokea kwa maneno ya hapa na pale, huku akiwafuta uanachama wanachama sita na tawi moja....
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Dudubaya aibuka na ‘Wakaka’
BAADA ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, ameibuka na ngoma yake mpya aliyoipa jina la ‘Wakaka’. Dudubaya alishawahi kutamba na...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-4b7po5xj-mzxo6a8XcKqRdpHR7rtaM8LEhy7xrn-bBa0fK0KlE3t22BVq43hlKj5jQGSjH5DUuxpn4aOglM2KI/zitto3.jpg)
ZITTO AIBUKA NA DVD
9 years ago
Mtanzania23 Sep
Magufuli aibuka na pushapu
*Asema ana nguvu ya kuleta mabadiliko ya kweli
Na Bakari Kimwanga, Karagwe
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, ametoa mpya baada ya kuibuka na staili mpya ya kuomba kura kwa mtindo wa kupiga pushapu akiwa jukwaani.
Hatua hiyo imekuja baada ya kuomba kura, huku akisema ana nguvu za kuwatumikia kwa dhati na kuomba aoneshe jukwaani kama ana nguvu kweli.
Dk. Magufuli aliibuka na mtindo huo jana katika mkutano wake wa pili wa kampeni mjini Kagarwe mkoani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SRbpV0Al75pMeJwdpRKqsdau-scaCgWFsdowSpVD0Ba4KFmq*ZO3N8MX77aY-ln*m7fxKPvblzVOQVxHwCqtV2pz4csa65RP/kijana.jpg)
KIJANA APOTEA AIBUKA...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aX2yEHaS8JmNGdNGvYS1B9X15twvTdA2YWGOfTOV1mRdCDmBmM0CUprlpCg1DOt8xUYwuD*EzDnRej8ymX54nsmF536B3foL/shilole.jpg?width=650)
ALIYEZAA NA SHILOLE AIBUKA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vuUh0rgUyT4JcAqmnM2sO00p5pCpLeCOivHGXerm8P4jwXyuqjjRwalnzDkMIbxJ6KVUf457a*oVFT0VieH0J64jg5nCBcSY/adam.jpg)
MCHUMBA WA KUAMBIANA AIBUKA!