ZITTO AIBUKA NA DVD
![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-4b7po5xj-mzxo6a8XcKqRdpHR7rtaM8LEhy7xrn-bBa0fK0KlE3t22BVq43hlKj5jQGSjH5DUuxpn4aOglM2KI/zitto3.jpg)
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. WAKATI Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, akijipanga kuanza ziara katika mikoa kadhaa nchini kujibu mapigo ya tuhuma dhidi yake zilizotolewa na baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenye ziara ya Operesheni M4C Pamoja Daima, mbunge huyo ameibuka na DVD inayowananga viongozi wa CHADEMA. Vyanzo vyetu vya habari vilisema kuwa DVD hizo zitasambazwa kwenye...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Zitto aibuka CHADEMA
WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...
11 years ago
Mwananchi08 Jan
Zitto aibuka kidedea mahakamani
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
DVD Tamasha la Krismasi yakamilika
KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, imekamilisha DVD ya Tamasha la Krismasi lililomalizika Januari mwaka huu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WEr22rxR-58/VXlojz9WgFI/AAAAAAAC6QM/jxA8BtVFkyc/s72-c/GO9G8667.jpg)
DVD miaka 15 ya Tamasha la Pasaka hadharani
![](http://3.bp.blogspot.com/-WEr22rxR-58/VXlojz9WgFI/AAAAAAAC6QM/jxA8BtVFkyc/s320/GO9G8667.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima31 May
Sauti za Sifa kuzindua DVD yao leo
DVD ya ‘Pokea Sifa’ ya kwaya ya Sauti za Sifa, inatarajiwa kuzinduliwa leo katika ukumbi wa Kanisa la The Word of Reconciliation Ministries (WRM), uliopo Matembele ya Pili Kivule jijini...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-2TSpsFF0mU8/VZVPp0J8ljI/AAAAAAAC8HU/QZg3nE4mc3g/s72-c/20150702074833.jpg)
Jenifer Mgendi azindua dvd yake ya wema ni akiba
![](http://1.bp.blogspot.com/-2TSpsFF0mU8/VZVPp0J8ljI/AAAAAAAC8HU/QZg3nE4mc3g/s640/20150702074833.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-5rfW0g1XtXY/VZVPp09mCDI/AAAAAAAC8HQ/b1tePt7vhYc/s640/20150702074834.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GZs4JSI1s0E/VZVPppXwi2I/AAAAAAAC8HY/Mc3yTu4mzTI/s640/20150702074835.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](https://4.bp.blogspot.com/-0JsIYTRHsiU/VTQf5pi5PjI/AAAAAAAADtE/RbjWUdQ870o/s72-c/26ED72B700000578-0-image-a-1_1427131432184.jpg)
COLLECTION ZA DVD ZA MAYWEATHER NA PACQUAIO SASA ZINAPATIKANA UHURU / MSIMBAZI DAR
![](https://4.bp.blogspot.com/-0JsIYTRHsiU/VTQf5pi5PjI/AAAAAAAADtE/RbjWUdQ870o/s1600/26ED72B700000578-0-image-a-1_1427131432184.jpg)
IKIWA zimesalia siku chache kufanyika mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Paquaio mei 2 mwaka uhu mpambano uho uliovunja rekodi ya mapato mbalimbali ya ngumi zilizofanyika kwa kipindi hichi
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekwisha toa Collection DVD za mapambano ya wakali hawo yaliyopita nyuma dvd hizo zenye mafunzo mbalimbali pamoja na mazoezi wakati wakijiandaa kupigana...
11 years ago
Michuzi01 Jul
Filamu Mpya ya Cultural Wars Sasa Yapatikana! Wahi Kujipatia DVD!