Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stamina aeleza kwanini remix ya ‘Number 1′ ilihit kuliko remix za nyimbo zingine za Bongo

Msanii wa Hip Hop kutoka Morogoro, Stamina ametoa sababu ya nyimbo nyingi za bongo zinazofanyiwa remix kutofanya vizuri hapa nyumbani. Stamina aliitolea mfano remix ya ‘Number One’ ya Diamond na Davido kwa kudai kuwa msanii huyo alijua timing pamoja na thamani ya msanii aliyefanya naye. “Diamond remix yake ilifanya vizuri kwasababu kwanza nyimbo ilikuwa hit, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Stamina f/ Chidi Benz, Nikki Mbishi, Songa, Noorah & Fid Q – Like Father Like Son (Remix)

Stamina amewakutanisha miongoni mwa rappers hatari zaidi kwenye hip hop ya Tanzania kwenye remix ya ngoma yake Like Father Like Son. Waliomo kwenye ngoma ni Chidi Benz, Nikki Mbishi, Songa, Noorah & Fid Q. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na […]

 

11 years ago

Bongo5

‘Sugua Gaga’ yaipiku ‘Number 1 remix’ kwa kupata views nyingi Youtube ndani ya miezi mitano

Hadi mwishoni mwa mwezi uliopita, video ya remix ya hit single ya Diamond Platnumz, ‘Number One’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria, Davido ilikuwa ni video ya kwanza kutoka kwa msanii wa Tanzania kupata views nyingi zaidi ndani ya miezi chini ya sita. Hata hivyo rekodi hiyo sasa imevunjwa na video ya Shaa, Sugua Gaga, thanks kwa […]

 

11 years ago

Bongo5

Barnaba aeleza kwanini hutumia muda mfupi kuandika nyimbo zake

Barnaba amesema kuandika nyimbo zake kwa muda mfupi tu ni kipaji alichopewa na Mungu. Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa humchukua dakika 30 tu kuandika nyimbo zake au za wasanii wengine. “Unajua nyimbo zangu huwa naandika kwa kutumia dakika chache sana kama wimbo wangu huu mpya niliandika kwa kutumia dakika 30 lakini zingine zote huwa ni […]

 

11 years ago

Bongo5

Batuli aeleza kwanini mahusiano kati ya mastaa wa Bongo hayadumu

Mwanadada ambaye ni mrembo katika tasnia ya filamu, Yobnesh Yussuph aka Batuli amezungumzia changamoto zinazowakumba mastaa wa Tanzania walio kwenye uhusiano wa kimapenzi ambazo huwafanya washindwe kudumu. Akizungumza na Bongo5 leo, Batuli amesema tatizo kubwa ambalo lipo kwa mastaa wa Bongo ni kutojua mapenzi na na kutokuwa na pesa. “Huwezi kufananisha maisha ya couples za […]

 

9 years ago

Bongo5

Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine

lollipop2

Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.

24

Lollipop ndiye mwandishi wa ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ za Barakah Da Prince, pamoja na ‘Basi Nenda’ na nyingine za Mo Music.

“Muziki wa gospel kwangu mimi ni maisha kamili, lakini production pamoja na ishu za uandishi nimefanyika kuwa sehemu ya kazi yangu,” alisema Lollipop...

 

10 years ago

Bongo5

Nahreel aeleza furaha yake kutokana na Top 10 ya MTV Base kuwa na nyimbo 4 za Bongo alizotengeneza yeye

Muziki wa Bongo unaendelea kukua siku hadi siku na kutambulika kimataifa, kutokana na kazi za wasanii wetu kuendelea kushika chati mbalimbali kwenye vituo vikubwa vya kimataifa hadi kufika nafasi za juu. MTV Base wana chati ya video 10 za Afrika iitwayo Official African Chart, na miongoni mwa video zilipo katika chati hiyo wiki hii, 4 […]

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani