Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars kukwaana na Mapharao wa Misri

Taifa Stars inajiandaa na mechi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Mataifa barani Afrika za mwaka 2017 .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Stars yajidhatiti kuwakabili Misri

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, leo kimeendelea na mazoezi asubuhi na jioni katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri.
Jana kikosi cha Stars kilifanya mazoezi majira ya saa 9 mchana katika uwanja wa Taifa wa Ethiopia (Addis Ababa) ambao pia unatumiwa na timu yao ya Taifa kwa mazoezi.
Taifa Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa nchini Ethiopia inajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa...

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA MISRI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria. Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

 

10 years ago

Michuzi

STARS KUWAFUATA MISRI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili.
Stars ambayo imeweka kambi ya mazoezi takribani kwa wiki moja sasa jijini Addis Ababa leo imeendelea na raiba yake ya mazoezi katika uwanja wa Taifa, amabpo leo imefanya mazoezi yake asububuhi tu.
Kocha mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij amesema, anashukuru maendeleo ya kambi ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Stars kuchza na Misri, Uganda

Taifa Stars ya Tanzania itacheza mechi yake ya kuwania kufuzu kwa AFCON 2017, dhidi ya Misri.

 

10 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS KUWAFUATA MISRI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili. 
Stars ambayo imeweka kambi ya mazoezi takribani kwa wiki moja sasa jijini Addis Ababa leo imeendelea na raiba yake ya mazoezi katika uwanja wa Taifa, amabpo leo imefanya mazoezi yake asububuhi tu. 
 
Kocha mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij amesema, anashukuru maendeleo ya kambi...

 

10 years ago

Mwananchi

Tuiandae vyema Stars kuzikabili Nigeria, Misri

Ni wakati mwingine kwa Tanzania kujipanga katika soka baada ya wiki hii Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutangaza ratiba ya kufuzu kwa fainali za Afrika mwaka 2017 (Afcon) na pia fainali za wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) za mwaka 2016, ambako Taifa Stars imepangiwa timu ngumu.

 

10 years ago

Michuzi

STARS YAWASILI BORG EL ARAB, KUWAVAA MISRI KESHO

Msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salama katika eneo la Borg El Arab jijini Alexandria na kufikia katika hoteli ya Panacea tayari kwa mchezo wake wa kesho.
Taifa Stars ambayo ilikuwa kambini nchini Ethiopia kwa takribani wiki moja, iliondoka jana usiku Addis Ababa  na kuwasili uwanja wa ndege wa Cairo majira ya saa 8 usiku, kisha kuunganisha kwa usafiri wa basi mpaka Borg El Arab takribani masaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani