Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars yajidhatiti kuwakabili Misri

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, leo kimeendelea na mazoezi asubuhi na jioni katika uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri.
Jana kikosi cha Stars kilifanya mazoezi majira ya saa 9 mchana katika uwanja wa Taifa wa Ethiopia (Addis Ababa) ambao pia unatumiwa na timu yao ya Taifa kwa mazoezi.
Taifa Stars ambayo imeweka kambi jijini Addis Ababa nchini Ethiopia inajiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

STARS KUWAKABILI UGANDA KESHO ZANZIBAR


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 100TAREHE 19 JUNI, 2015TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kesho inatarajiwa kushuka dimbani kucheza na timu ya Taifa ya Uganda katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainaili za wachezaji wa ndani CHAN 2016.
Kikosi cha Taifa Stars kimeendelea na mazoezi katika uwanja wa Amani kisiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa kuanzia majira a saa 2 usiku kwa saa za Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

Taifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Mart Nooij akiendelea kuwafua vijana wake ikiwa ni muendelezo wa mazoezi katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.Wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Stars) wakiendelea kujifua katika uwanja wa Royal Bafokeng kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland, utakaopigwa jioni ya leo Mei 18,2015.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI KESHO CCM KIRUMBA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars - pichani)) leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya taifa ya Malawi (The Flames) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa bei za sh. 5,000 kwa mzunguko, sh. 12,000 kwa jukwaa kuu na sh.20,000 kwa viti vya jukwaa kuu maalum. Taifa Stars inashika nafasi ya 100 katika...

 

10 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS YAWASILI ZANZIBAR TAYARI KUWAKABILI WAGANDA JUMAMOSI

Kocha wa Timu ya Taifa Stars alipowasili bandarini Zanzibar pamoja na Timu ya taifa Taifa StarsWachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars walipowasili bandarini Zanzibar wakisubiri usafiri kuwapeleka hoteliniWachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwasili visiwani Zanzibar leo tayari kwa mchezo dhidi ya Uganda Jumamosi Uwanja wa Amaan, kuwania kufuzu Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), michuano inayoshirikisha wachezaji wanaocheza ligi za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Stars kukwaana na Mapharao wa Misri

Taifa Stars inajiandaa na mechi ya kufuzu kucheza fainali za kombe la Mataifa barani Afrika za mwaka 2017 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Stars kuchza na Misri, Uganda

Taifa Stars ya Tanzania itacheza mechi yake ya kuwania kufuzu kwa AFCON 2017, dhidi ya Misri.

 

10 years ago

Michuzi

STARS KUWAFUATA MISRI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili.
Stars ambayo imeweka kambi ya mazoezi takribani kwa wiki moja sasa jijini Addis Ababa leo imeendelea na raiba yake ya mazoezi katika uwanja wa Taifa, amabpo leo imefanya mazoezi yake asububuhi tu.
Kocha mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij amesema, anashukuru maendeleo ya kambi ni...

 

10 years ago

GPL

TAIFA STARS YACHAPWA 3-0 NA MISRI

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri usiku huu mjini Alexandria. Mabao yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani