Stars watakaoivaa Swaziland watajwa
Na Mwandishi wetu
Kocha mkuu wa Taifa stars Mart Nooij (pichani) ametangaza kikosi cha wachezaji 24 kwa ajili ya mechi ya kalenda ya shirikisho la kimataifa la mpira wa miguu FIFA dhidi ya Swaziland itakayochezwa Novemba 16 mwaka huu jijini Mbabane.
Akizungumza jijini Dar es salaam Nooij amesema kikosi hicho kitaingia kambini novemba 10 mwaka huu na kitafanya mazoezi kwenye uwanja wa Gymkhana.
Amesema kuwa Novemba 11 mwaka huu Taifa Stars itaondoka kwenda afrika kusini ambapo itaweka...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 May
Taifa Stars kukipiga na Swaziland:COCAFA
10 years ago
TheCitizen12 Nov
Stars’ Samatta, Ulimwengu for Swaziland date
10 years ago
TheCitizen16 Nov
Heads up as Taifa Stars play Swaziland side
10 years ago
Mwananchi16 Nov
Stars vitani kusaka heshima kwa Swaziland leo
10 years ago
MichuziTaifa Stars yaendelea kujifua tayari kwa kuwakabili Swaziland
10 years ago
GPLTAIFA STARS YAANZA VIBAYA COSAFA, YAFUNGWA NA SWAZILAND BAO 1-0
11 years ago
MichuziWACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWA
Wachezaji hao ni kipa Benedicto Tinoko Simwanda (Temeke), mabeki wa kati; Emma Namwondo Simwanda (Temeke) na Joram Nason Mgeveje (Iringa). Walinzi wa pembeni ni Omari Ally Kindamba (Temeke), Edward Peter Mayunga (Kaskazini Pemba) na Shiraz Abdallah Sozigwa (Ilala).
Viungo ni Yusuf Suleiman Mlipili (Temeke),...
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Baadhi ya vigogo Simba, Yanga watajwa Kuihujumu Taifa Stars
Kikosi cha Taifa stars.
Na Mwandishi wetu
SIRI za kushindwa kwa timu ya soka ya taifa kufuzu katika michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON).
Siri hiyo ya kukwama kwa timu ya taifa kwenye michuano ya (AFCON), inadaiwa kutokana na hujuma zilizofanywa na kundi la watu wachache kwa lengo la kumwonesha Rais wa TFF, Jamal Malinzi hawezi kuongoza shirikisho hilo na kuipa mafanikio Stars.
Wahujumu hao wa soka nchini, wanadaiwa kutoka katika vilabu vikubwa vya soka nchini ambao kwa sasa majina yao...