Stars yasaka nafasi ya tatu
MATUMAINI pekee ya wapenzi na mashabiki wa soka wa Tanzania bara, ni kuona timu yao ya Kilimanjaro Stars leo inaifunga Zambia katika mechi ya kuwania nafasi ya tatu ya michuano...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Aliyeshika nafasi ya tatu azimia
Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya tatu kwa ufaulu kitaifa katika Matokeo ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne wa 2013, jana alipoteza fahamu kwa muda baada ya kupata matokeo hayo.
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Man U yakwea nafasi ya tatu
Manchester United ilikwea hadi nafasi ya tatuLigi Kuu ya England baada ya kuwaadhibu wapinzani wao Southampton magoli 2 - 1.
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Loga sasa awaza nafasi ya tatu
BAADA ya Simba kukosa mwelekeo katika Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Zdravko Logarusic, ametamba kuhakikisha wanashinda mechi zilizosalia ili walau washike nafasi tatu za juu. Simba...
10 years ago
Vijimambo08 Dec
WATANZANIA WACHUKUA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA KUCHEZA MUZIKI KENYA
Washindi wa shindano la kucheza muziki, The Band wakionyesha mfano wa hundi ya shilingi milioni 1 ya Kenya.Washindi wa Sakata Mashariki 2014, The Band kutoka Kenya wakipewa mfano wa hundi kama zawadiKundi la DSI likiwa katika mchuano huo jana usiku.Washindi wa pili kundi la IDU kutoka Uganda likiwa katika kucheza.Kundi la kucheza muziki lililokuwa likiwakilisha Tanzania, T-Africa likiwa katika pozi kusubiri matokeo.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Majaji wakifuatilia shindano hilo la kucheza...
Majaji wakifuatilia shindano hilo la kucheza...
9 years ago
MichuziTANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU KATIKA UWAZI WA BAJETI KWA NCHI ZA A.MASHARIKI
Meneja wa Program wa Haki Elimu,Godfrey Bonaventura akizungumza na waandishi wa habari juu ya utafiti uliofanywa na International Budget Partinership leo jijini Dar es Salaam,Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu,John KalageMkurugenzi Mtendaji wa Haki Elimu, John Kalage akizungumza na waandishi wa habari leo wakati wa utoaji wa Uwazi wa Bajeti katika utafiti uliofanywa na Interntional Budget Partinaship iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.kushoto ni Meneja Program wa Haki Elimu,...
10 years ago
MichuziTimu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball (U18) yashika nafasi ya tatu mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Mchezo wa Baseball baada ya ushindi wa nafasi ya tatu (Bronze Medal) katika mashindano ya Kufaulu kushiriki kombe la Dunia la Mchezo wa Baseball Umri chini ya Miaka 18. Mashindano hayo yalifanyika nchini Kenya katika mji wa Meru tarehe 15 - 20 Disemba, 2014 na yalikuwa kutafuta tiketi kwa Bara la Afrika ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia yatakayofanyika hapo mwakani 2015 katika jiji la Tokyo, Japan.
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Jeshi jipya la Stars kujifua kwa saa tatu
BAADHI ya sura mpya zilizoitwa mwanzoni mwa wiki hii kwa ajili ya kuongezea nguvu kikosi cha timu ya taifa ya soka Tanzania, ‘Taifa Stars’ kimekamilika na wachezaji hao jana waliungana na wenzao katika mazoezi Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam.
Stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa jijini hapa imeingiza sura mpya baada ya wachezaji wa klabu za Yanga na Azam FC, kushindwa kuwasili kambini kutokana na kutumikia klabu zao. Akizungumza...
9 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziBREAKING NEWZZZZ: MWIGULU NCHEMBA AJIUZULU NAFASI YA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM, RAJABU LUHWAVI ACHUKUA NAFASI YAKE
Habari za uhakika kutoka Dodoma zinaeleza kwamba Naibu Katibu Mkuu wa CCM ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba (kushoto) amejiuzulu nafasi hiyo katika chama tawala. Kulia ni Ndg Rajabu Luhwavi. Habari zaidi tutawaletea kuhusu sababu ya kujiuzulu huko.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania