Steve Kipepeo: Mwanamume anayefunza wanaume wenzake kuhusu hedhi Kenya
Raia mmoja wa Kenya anawahamasisha wanaume wengine kuzungumzia na kujifunza kuhusu hedhi na hivyobasi kufutilia mbali dhana kwamba ni swala la wanawake pekee.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili24 Feb
Kipepeo dume anayewazuzua vipepeo wa kike pwani ya Kenya
10 years ago
Bongo Movies12 Jun
Steve Nyerere Awapa Makavu Baadhi ya Mastaa Wenzake wa Bongo Movies
Staa wa bongo movies, Steve Mengere ‘ Steve Nyerere’ amesema hana mpango na shutuma mbalimbali zinazosemwa na baadhi ya wasanii wenzake kwani Mungu atamlipa kutokana na uvumilivu wake
Steve nyerere aliyasema hayo na kuweka wazi kuwa kuna watu wanamchafua ambao hawana ishu yoyote hapa mjini zaidi ya kutupia picha kwenye mitao ya kijamii na kujinadi kwa nyumba nzuri na na magari ya kuazima.
“ Unajua kuna mambo kibao ya kufanya katika jamii lakini watu hawayaoni zaidi ya majungu tu hao...
11 years ago
Bongo521 Aug
Steve Nyerere azungumzia tuhuma za kutumia cheo vibaya kuwanyonya wasanii wenzake
10 years ago
Vijimambo
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi

Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
MichuziKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
VijimamboKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
10 years ago
GPLKUELEKEA SIKU YA HEDHI DUNIANI, MTANDAO WA HEDHI SALAMA WAENDESHA SEMINA SHULE YA SEKONDARI ST. ANTHONY
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa …
Klabu ya Chelsea ya Uingereza ni miongoni mwa vilabu vinavyolipa mishahara mikubwa wachezaji wake, klabu hiyo ambayo inamilikiwa na bilionea wa kirusi Roman Abromavich imekumbana na wakati mgumu msimu huu, baada ya kupokea jumla ya vipigo 9 katika mechi 16 ilizocheza. Kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho alinukuliwa siku moja nyuma akilaumu wachezaji wake wanamsaliti, ila […]
The post Fabregas kaongea haya kuhusu wachezaji wenzake wa Chelsea wanaolipwa mishahara mikubwa … appeared first on...
10 years ago
Uhuru Newspaper
Wanaume “vicheko” Kenya
