Kipepeo dume anayewazuzua vipepeo wa kike pwani ya Kenya
Je, una habari vipepeo ni kitega uchumi? Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Kilifi pwani ya Kenya kwa muda mrefu sasa wamejikidhi kimaisha kupitia biashara hiyo ya vipepeo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili07 Mar
Steve Kipepeo: Mwanamume anayefunza wanaume wenzake kuhusu hedhi Kenya
Raia mmoja wa Kenya anawahamasisha wanaume wengine kuzungumzia na kujifunza kuhusu hedhi na hivyobasi kufutilia mbali dhana kwamba ni swala la wanawake pekee.
11 years ago
BBCSwahili21 Mar
Mfumo dume wadhihirika bungeni Kenya
Wabunge wanaume wamependekeza kuwa sio lazima mume kumuomba ruhusa mke wa kwanza anapotaka kuoa mke wa pili.
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Mshukiwa wa kike wa ugaidi asakwa-Kenya
Kenya imetoa zawadi ya $20,000 kwa mtu yeyote atakaye toa habari za kukamatwa kwa mshukiwa mmoja wa ugaidi wa kike Rukia Faraj
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Mashambulizi zaidi Pwani ya Kenya
Watu wasiojulikana wameteketeza nyumba saba katika eneo la kuhifadhi wanyama mjini Lamu , ingawa hakuna vifo vimeripotiwa
11 years ago
BBCSwahili06 Jul
Shambulizi lafanyika pwani ya kenya
Kuna Ripoti ya mashambulizi matatu katika maeneo ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa kenya na Somali.
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
10 years ago
BBCSwahili08 Jul
Matimbo yenye Mauti pwani ya Kenya
Watu saba wanaaminika kufa kutokana na maporomoko ya matimbo yaliyoko Pwani ya Kenya katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mdau Mzee wa Kipepeo Tours akiwa vakesheni New York
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi03 Mar
Lupita Nyong'o kutoka kenya ashinda tuzo ya oscar ya muigizaji msaidizi bora wa kike
Muigizaji Lupita Nyong'o kutoka Kenya amenyakuwa tuzo ya Oscar ya mwigizaji msaidizi wa kike (Best Supporting actress) kwa uigizaji wake katika filamu ya utumwa ya ''12 Years A Slave.'' leo alfajiri mjini Los Angeles, Marekani.
Muigizaji Will Smith ndiye aliyetangaza matokeo hayo, na baada ya kupokea tuzo hiyo kwa shangwe Lupita alifunguka na kusema: " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukrani na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.'' pia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania