Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


STEVE NYERERE, MTITU WAFIKA PABAYA!

Na Shakoor Jongo
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na katibu wake, William Mtitu wamefika pabaya kwa kudaiwa kushindwa kusalimiana huku kila mmoja akificha sura asikutane na mwenzake. Tukio lililodhihirisha kuwa wawili hao hawaivi, lilichukua nafasi juzikati katika Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar, kulipokuwa na uzinduzi wa filamu iliyokwenda kwa jina la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE, DUDE WAFIKA PABAYA!

Gladness Mallya na Gabriel Ng’osha Hali mbaya! Lile bifu la waigizaji wa filamu za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na Kulwa Kikumba ‘Dude’ limefika pabaya ambapo wamekuwa wakitoleana maneno makali kwamba mmoja wao akifa hawatazikana. Stive Nyerere. Chanzo cha wasanii hao kugombana kilitokana na kaburi la marehemu Adam Kuambiana ambalo limejengwa hivi karibuni ambapo kupitia mtandao wa...

 

10 years ago

GPL

MTITU, STEVE NYERERE WAAPA KUTOZIKANA!

Brighton masalu
WASANII William Mtitu na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ wamejiapiza kuwa wasizikane ikitokea mmoja kati yao akafariki dunia huku chanzo ni kila mmoja kumtuhumu mwenzake kwa unafiki. Msanii wa filamu Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wakizungumza na Amani kwa nyakati tofauti juzi, wawili hao wameapa wasijuane kwa hali yoyote iwe kwa matatizo kama mmoja wao kufiwa au yeye kufariki dunia,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dude, Mtitu Nitakufa kwa Mipango ya Mungu-Steve Nyerere

Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .

Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.

Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye...

 

9 years ago

GPL

LULU, WEMA WAFIKA PABAYA

Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa...

 

10 years ago

GPL

LULU, MAMA KANUMBA WAFIKA PABAYA

WAANDISHI WETU HALI ni mbaya! Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa fani hiyo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa wamefikia pabaya baada ya mama huyo kumshushia Lulu maneno  makali na ya shutuma, Amani lina taarifa. Staa wa sinema za Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Habari zilizojiri ndani ya chumba cha habari cha gazeti hili zinadai kuwa, mama Kanumba...

 

10 years ago

GPL

KARRUECHE, CHRIS BROWN WAFIKA PABAYA!

Mtangazaji na mwanamitindo, Karrueche Tran. New York,Marekani
MTANGAZAJI na mwanamitindo, Karrueche Tran amemchana mpenzi wake wa zamani, Christopher Maurice ‘Chris Brown’ katika mitandao ya kijamii. Karrueche Tran akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Christopher Maurice ‘Chris Brown’.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Karrueche alimfungukia Chris kuwa asimfuatefuate kwani mapenzi yao yalishakwisha tangu...

 

11 years ago

GPL

ALI KIBA, DIAMOND WAFIKA PABAYA!

Na Sifael Paul
Hatimaye! Kwa mara ya kwanza staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba ameibuka na kumlipua hasimu wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, hali inayotafsiriwa kwamba bifu lao sasa limefika pabaya ikidaiwa kwamba wanagombea nyota (ustaa). Staa ‘the big name’ wa Bongo Fleva ndani na nje ya Bongo, Ali Saleh Kiba. Kupitia Kipindi cha The Sporah...

 

9 years ago

GPL

KISA UHUSIANO NA DIAMOND LULU, WEMA WAFIKA PABAYA!

Stori: Imelda Mtema Pamoja na wenyewe kudai hawajui kilichotokea, mastaa wawili wenye sura za mauzo kunako sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Wema Isaac Sepetu, kwa sasa wanadaiwa kufikia pabaya kufuatia bifu zito linalofukuta kati yao. Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu. Habari za mjini zinadai kwamba, Wema amekuwa akishtushwa na kuchukizwa na kitendo cha Lulu kuwa upande wa aliyewahi kuwa mwandani wake,...

 

10 years ago

GPL

MTITU AKUBALI KUSAMEHEANA NA STEVE

Brighton Masalu
KUJISHUSHA! Staa wa filamu Bongo, William Mtitu amesema yupo tayari kumaliza ugomvi na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kutokana na shinikizo kutoka kwa wasanii wenzake, wadau na mkewe. Kwa mujibu wa chanzo makini, kikao kizito kikimhusisha Mtitu na wasanii nguli kiliitishwa na kumuonya juu ya suala hilo kabla ya kukubali kuwa yuko tayari kumalizana na Steve. “Kilikuwa ni kikao kizito kaka,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani