MTITU AKUBALI KUSAMEHEANA NA STEVE
![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3swOwzCn-02it4ObiAP-b70qOA6Xyj4bR*QI9xsET8L0LfSzqyaSMFaHv4vCkLlFQidoNYrAvcii4x-ej4PXknvC/Mtitu.jpg)
Brighton Masalu KUJISHUSHA! Staa wa filamu Bongo, William Mtitu amesema yupo tayari kumaliza ugomvi na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kutokana na shinikizo kutoka kwa wasanii wenzake, wadau na mkewe. Kwa mujibu wa chanzo makini, kikao kizito kikimhusisha Mtitu na wasanii nguli kiliitishwa na kumuonya juu ya suala hilo kabla ya kukubali kuwa yuko tayari kumalizana na Steve. “Kilikuwa ni kikao kizito kaka,...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/tV6jtHhMLWwc16VS*IKJNmXnHL-kQ0SlEiFI9RnTm*ovm0fjZEmNv-BH4LTeVwlBScXps4c-hi3AFb6pJ74rfIZN1Z5qt23I/mtitu.jpg?width=650)
STEVE NYERERE, MTITU WAFIKA PABAYA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xbc0vWPYETvSBXpvCpW67Y21F9YqpllsWffS3kPK6jEtJogn3loEybeNknTNNdFIw8m4n0Qyo5U9Mlr11lMxdDciedmYbm9K/Mtitu.jpg)
MTITU, STEVE NYERERE WAAPA KUTOZIKANA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/45z4r7ugTty7t90d5dApGQYDaJW--wXcrwW7GyZgf*l0p88aYG0NxdJr4KofZ8jV6qEUIayERVAsFbMJ9e21ngqNM6R3YO2r/MTITU.jpg)
MTITU AFUNGUKIA BIFU LAKE NA STEVE
10 years ago
Bongo Movies21 May
Dude, Mtitu Nitakufa kwa Mipango ya Mungu-Steve Nyerere
Naomba kumshukulu mungu kwa kila jambo yehova wewe ndio kimbilio langu. Pili kwa masikitiko makubwa nasema watashindana ila awata shinda .niongee kidogo kwa kifupi mara kwa mara nimekuwa nazalilishwa na najiuliza tatizo nini nagundua nyota .
Maishani kila binadamu mungu kampa fulsa yake so ukubali ukatae ndio hivo. Nilipigiwa simu na Mrs Adam kuambiana yani mke wa marehemu kama rafiki ndugu na msanii mwenzake kuwa anajenga kaburi la marehemu Kuambiana.
Nikajiuliza, kwa nini ajenge yeye...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/po*b5pjX*enHWvp6vZaaVhmQg7aqUcz3PkIU5uYb4e9cGJsPt5EiTFGNibC5s6k4ca8VdhnDljk3q6iqE5uG5-b0fmSjUDrw/barnaba.jpg)
STEVE RNB ATANGAZA NDOA, BARNABA AMTOLEA MAHARI MAMA STEVE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj3HbShd4a7MZM*2bqVplXHc1v1uBW4x6I7HZta88MNrMlFbnNEgDNpW15bQD7qenAb-obo2JRRFbtAvxII02b7q/mtitu.jpg?width=650)
MTITU, NIVA WAZICHAPA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d6TLjrEVtyrJrwfo4em*KuB-Yq760DCpkjWw-6wEF39oWIki8y18GaNT1WHYMhwr5UuLneYBOhtuwcutL*virM4/jb.jpg)
MTITU AMPA MAKAVU JB
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-uO54rJ35O**1MJVzARI6H1HGg5162dlh-Za06aNIMAEKs8-RXe4OMf6Xef6F0hFd-aGSyICil-Qi2l901aAlbT/mtiti.jpg)
MTITU ANUSURIKA KIPIGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0r8-wGBopChsJkCTmTX6vme0dr85Z145TQ7H60Ar0AwQrhgDpx0sFsGbKUhgfGvhilP9n2j*XMzM8zYI*K8td6q/wema.jpg)
WEMA, MTITU WAKWIDANA