Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stiff contest at annual gala

Swimming is one activity that has proved to be beneficial to the health of young people. Every year East Africa International School holds their annual swimming gala which involves all pupils. 

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Vijimambo

SHINE WITH SHINA ANNUAL GALA GREENBELT, MARYLAND

 Wahusika wa Shine with SHINA wakihakiki majina ya wageni waliohudhuria Annual Gala iliyofanyika katika hoteli ya Hilton iliyopo Greenbelt, jimbo la Maryland nchini Marekani. Mada ilikua ni ya kuzungumuzia changamoto za wageni wanazo kutananazo kwenye nyanja mbalimbali hususani utamaduni na malezi ya watoto na hasa unapokua muAfrica wa kutoka Afrika unayezungumuza kiingereza cha kiafrika. Changamoto za watoto wanaozaliwa na wazazi wanaotokea Afrika, changamoto zilizoelezewa kwa ufasaha na...

 

10 years ago

Vijimambo

THC 1st ANNUAL GALA DINNER YAFANYIKA HOUSTON

Jumuiya ya Watanzania usiku wa jana ilifanya Dinner Gala ya kukata na shoka katika Ukumbi wa Safari Texas Ranch. Mgeni rasmi katika Dinner hiyo iliyohudhuriwa na idadi kubwa wa Watanzania kutoka nje na ndani jiji la Houston alikuwa ni Sheriff wa Harris County Adrian Garcia. Pata picha za shughuli hiyo hapa chini.

Sheriff Garcia akiwa na wenyeji wake kutoka kushoto Mahono, Katibu Nkunga, Monica, Madam President Nuru Mazora,Mrs.Garcia,Mama Tenende na Mzee Tenende
Sheriff Garcia akipata selfie na...

 

9 years ago

Michuzi

SHINE WITH SHINA ANNUAL GALA 2015 YAFANA GREENBELT, MARYLAND

Meza kuu kutoka kushoto ni Bi. Jennifer Jones ambaye ni ni mkuu wa Kamisheni ya wanawake kaunti ya Prince George, Afisa Suleiman Saleh ambaye alimwakilisha Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi. Kulia ni Dr. El Senzengakulu Zulu ambaye ndio mwanzilishi na mmiliki wa shule ya Ujamaa inayofundisha tamaduni za bara la Afrika. PICHA NA KWANZA PRODUCTION/VIJIMAMBO BLOG.Kutoka kushoto ni Dr. John Rutayuga ambaye ni mwanzilish wa Ukwimwi Orphans akiwa meza kuu na Mr and Mrs...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani