SUKOS YAWAPIGA MSASA MADELEVA WA PIKIPIKI NAMNA YA KUJIKINGA CORONA
Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamandamstaafu wa Jeshi la Polisi) akipima kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na kirusi cha Corona. naempima ni Mratibu wa Afya ya Jamii Mkoa wa Dar es Salaam,Agnes Mgaya katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi) akizungumza na waaandi wa habari katika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA MKOA WA SINGIDA LATOA ELIMU NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
Afisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa...
5 years ago
MichuziTYEC MKOA WA SINGIDA YATOA ELIMU STENDI YA MABASI NAMNA YA KUJIKINGA KUPATA VIRUSI VYA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rypUsh5SygA/XocNK2h5RkI/AAAAAAAAkhg/u8LyJAdUXUU2wRarkFB-Tz-TiCMPRpRdgCLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200403-WA0005.jpg)
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA: TUTAHAKIKISHA CORONA HAISAMBAI ZAIDI NCHINI, AVISHUKURU VYOMBO VYA HABARI KWA KUELIMISHA UMMA NAMNA YA KUJIKINGA
DODOMA, Tanzania
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kufanya tathmini ili kuhakikisha inazuia ugonjwa wa homa kali ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona isiweze kusambaa kwa kiasi kikubwa nchini, huku akivishukuru vyombo vya habari nchini...
10 years ago
Habarileo09 Apr
UTT yawapiga msasa ALAT
TAASISI ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu (UTTPID), imeanza kutoa elimu ya umuhimu wa mipango miji kwa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ili kuepusha ujenzi holela unaoendelea katika baadhi ya maeneo nchini.
10 years ago
Mtanzania15 Jun
ZEC yawapiga msasa vijana Z’bar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imewataka vijana kutambua haki yao ya kushiriki kwa ukamilifu katika Uchaguzi Mkuu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanalinda amani ya nchi.
Rai hiyo ilitolewa jana na Kamishna wa ZEC, Ayoub Bakar Hamad, katika Kongamano la Vijana na Uchaguzi mjini Unguja.
Alisema utafiti mbalimbali unaonyesha kuwa katika uchaguzi uliopita kundi la vijana limekuwa likitumiwa wanasiasa kuvuruga uchaguzi na kukiuka taratibu zilizowekwa na tume...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Serikali yawapiga msasa madereva wanaosafirisha kemikali
Mkemia Mkuu wa Serikali Prof. Samweli Manyele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa mdereva wa magari yanayosafirisha kemikali ndani na nje ya nchi, mafunzo yanayolenga kuwajengea uwezo wa usafirishaji salama wa kemikali za viwandani na Majumbani. Katikati ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Bw. George Kasinga toka ofisi hiyo na wa mwisho kulia ni Meneja wa Kanda ya Mashariki Bw. Daniel Ndiyo.
Frank Mvungi-Maelezo
Serikali inaendelea kuimarisha mifumo yausafirishaji wa Kemikali ndani na...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Multchoice yawapiga msasa wanahabari jijini Dar
![](http://2.bp.blogspot.com/-_Y05tRBT8QU/VECmb7CNREI/AAAAAAAAZ1Y/uzOe26-62cg/s1600/aaaaaaaaa.jpg)
CNN wakishirikiana na multichoice wafungua semina kwa waandishi wa habari juu ya nini kifanyike ili waandishi wa habari kutoka Tanzani waweze kufanya vizuri katika tuzo za mwandishi bora wa Africa tuzo ambazo mwaka huu zitafanyika Tanzania. Semina hiyo imefanyika jana katika hoteli ya New Africa Hoteli jijini Dar es Salaam
![](http://4.bp.blogspot.com/-HuObCAjecro/VD-u1QkHnOI/AAAAAAAGq4o/vyaHLOnZlHU/s1600/MMGM1254.jpg)
Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini, Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za “CNN MultiChoice African Journalist of the...
9 years ago
Bongo520 Nov
BASATA yawapiga msasa viongozi wa vyama vya wasanii
![DSC_0122](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/DSC_0122-300x194.jpg)
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewapa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo katika maeneo mbalimbali viongozi wa vyama na taasisi zinazojihusisha na wasanii ili kujenga ufanisi zaidi katika sekta ya Sanaa.
Katibu Mkuu wa BASATA, Godfrey Mngereza
Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu kuanzia Jumanne hadi Alhamisi ya wiki hii yalijikita katika kuwajengea uwezo Wasanii kwenye maeneo ya uandaaji bajeti, uandaaji wa mipango mikakati na sheria ya hakimiliki na hakishiriki na mikataba kwenye...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-o6MEnD5NZhI/U_DW8trzcSI/AAAAAAAGATg/hfLzSZDPaIU/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Serikali yawapiga msasa viongozi wa elimu ngazi ya Mikoa