Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye ajitoa CCM, ajiunga Ukawa

Historia imeendelea kuandikwa katika siasa za Tanzania baada ya leo, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye kujitoa CCM na kujiunga na chama kimojawapo kinachounda Umoja wa Katiba ya Wananchi-(Ukawa).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

SUMAYE AITOSA CCM, AJIUNGA UKAWA

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye akiongea na wanahabari. Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, leo  amekihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA). Sumaye amejiunga rasmi na Ukawa wakati wa mkutano wa wanahabari na viongozi wa Umoja huo,  mkutano uliofanyika mchana wa leo katika ukumbi wa hoteli ya Kunduchi jijini Dar. Aidha Sumaye hakusema ni chama gani amejiunga...

 

9 years ago

Dewji Blog

NEWS ON SITE: Waziri Mkuu Frederick Sumaye ajiunga rasmi UKAWA!!

social-media-SAAWaziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye,  akiwa katika meza kuu akitangaza rasmi kukihama chama cha Mapinduzi CCM na kujiunga na UKAWA mapema mchana wa leo Agosti 22.2015.  kwa kile alichokieleza mwenendo mbovu wa CCM katika uteuzi wa mgombea Urais ndani ya Chama hicho hivi karibuni

Andrew Chale, modewjiblog

(Kunduchi-Kinondoni)  Tayari  Taifa la Tanzania ambalo kwa sasa limeanza rasmi kwenye kinyang’anyiro cha Urais, mchana wa leo Agosti 22, 2015 – Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye,...

 

9 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA ZAMANI MH. FREDERICK SUMAYE AJIUNGA RASMI NA UKAWA

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga  na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM) 
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

10 years ago

Mwananchi

Mjumbe wa CCM ‘ajiunga’ Ukawa

>Jana ilikuwa kama sinema pale viongozi wa Kamati Namba Moja ya Bunge Maalumu walipojikuta wakibishana na mjumbe wao mbele ya waandishi wa habari, huku siri za mambo ya ndani ya vikao zikianikwa hadharani.

 

9 years ago

TheCitizen

Sumaye decamps CCM, joins Ukawa

Another major twist in Tanzania’s political terrain came up Saturday as Former Prime Minister Fredrick Sumaye defected to the Opposition.

 

9 years ago

TheCitizen

I’ll assist Ukawa presidential hopeful to beat CCM : Sumaye

Former Prime Minister Frederick Sumaye yesterday defected from CCM to the opposition.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA

Habari tulizozipata live kutoka kituo cha ITV ni kwamba Waziri wa zamani wa serikali ya Mkapa, ameamua rasmi kujitoa CCM baada ya kutotendewa haki na chama hicho. ” Sijiungi na upinzani kwa maslahi binafsi,sitaki cheo,sijachukua pesa, […]

The post Breaking News: Sumaye Ajivua CCM rasmi na kujiunga n UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRECK SUMAYE AONDOKA CCM NA KUJIUNGA NA UKAWA

 Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), leo mchana. Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Dar es Salaam leo mchana, baada ya kujiunga na chama hicho. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Sumaye akisisitiza jambo

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa ajiunga rasmi na Ukawa, akabidhiwa kadi ya uanachama Chadema

Lowassa ametangaza uamuzi huo leo katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani