Sumaye: Nec imarisheni usawa wakati wa uchaguzi
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) kuhakikisha vyama vyote vinapata haki pamoja na kulindwa na sheria katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog08 Sep
NEC yakemea vikali ukiukwaji wa maadili unaofanywa na vyama vya siasa wakati wa kampeni za uchaguzi
Maadili ya Uchaguzi awa Ajili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani na Mwaka 2015
(chini ya Kifungu cha 124A cha Sheria ya Uchaguzi Na. 1 ya mwaka 1985 (sura ya 343)
Sisi Vyama vya Siasa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa pamoja tumekubaliana kuwa na uchaguzi huru, wa haki, uwazi, na wa kuaminika. Na kwamba Amani, Ustawi wa Nchi, Usalama wa Raia, Uhuru wa Vyama vya Siasa na Utii wa Sheria, Kanuni na taratibu za uchaguzi ndio msingi wa...
9 years ago
MichuziNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
9 years ago
VijimamboNEC YAWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUTOKUWA NA UPANDE WAKATI WA KUWAELIMISHA WANANCHI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
11 years ago
Tanzania Daima13 Apr
Sumaye: Usawa wa mapato unatishia dunia
WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kukosekana kwa usawa wa mapato kunatishia hali ya usalama duniani ikizingatiwa kwamba zipo nchi zinafanya vizuri kiuchumi na nyingine zimezorota. Sumaye alisema hayo mwishoni...
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Tume yatakiwa kuhakikisha uchaguzi wa haki, usawa
Na Wandishi Wetu, Dar es Salaam
TUME ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imetakiwa kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa haki na usawa kuepuka machafuko yasitokee nchini.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Madola, Goodluck Jonathan, alisema kufanikiwa kwa uchaguzi huo kunategemea kuwapo uwazi, haki na kufuata misingi ya utawala bora.
Alisema ili kuhakikisha amani inakuwapo...
9 years ago
Mwananchi22 Aug
KKKT yataka haki, usawa Uchaguzi Mkuu 2015
11 years ago
Michuzi04 Aug
SUMAYE AFUNGUKA YA MOYONI WAKATI WA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA ROSE MUHANDO
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uMG6g5B-pd8/ViRnTjjKxXI/AAAAAAAIAzA/Buf_SBq1JFI/s72-c/790.jpg)
UCHAGUZI UFANYIKE KWA MISINGI YA HAKI NA USAWA- BALOZI SEIF
![](http://4.bp.blogspot.com/-uMG6g5B-pd8/ViRnTjjKxXI/AAAAAAAIAzA/Buf_SBq1JFI/s640/790.jpg)
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba kauli za baadhi ya wanasiasa wakati wanapokuwa majukwaani za kupalilia cheche za kutaka kuibua vurugu zisiwashitue Wananchi kwa vile Serikali itaendelea kuwa makini...