Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sumaye: Usawa wa mapato unatishia dunia

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amesema kukosekana kwa usawa wa mapato  kunatishia   hali ya usalama  duniani ikizingatiwa kwamba zipo nchi zinafanya vizuri kiuchumi na nyingine zimezorota. Sumaye alisema hayo mwishoni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Sumaye: Nec imarisheni usawa wakati wa uchaguzi

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, ameitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi(Nec) kuhakikisha vyama vyote vinapata haki pamoja na kulindwa na sheria katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Uteketezaji misitu unatishia uchumi wa wananchi Tunduru

Utajiri wa misitu wilayani ya Tunduru uko hatarini kutoweka kutokana na uvunaji holela na shughuli za binadamu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Serikali za Mitaa zaongeza mapato kupitia mfumo wa ukusanyaji Mapato kwa njia ya Kielektroniki

01

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano Serikalini Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI Bi. Rebecca Kwandu akifurahia jambo na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam wakati akiwaeleza mafanikio ya mfumo wa ukusanyaji mapato kwa njia ya kielektroniki katika mamlaka za Serikali za Mitaa (LGRCIS). Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya TEHAMA wa ofisi hiyo Bw. Mtani Yangwe na kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.

02

 Mkurugenzi Msaidizi Mifumo ya...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mjadala wa Usawa wa Kijinsia

Mjadala huu uliangazia usawa wa kijinsia katika mfumo wa serikali za ugatuzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tz:usawa wa maarifa shuleni

Matumizi ya vitabu yenye maudhui tofauti katika darasa moja katika shule, Je kuna usawa wa maarifa?

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala wa usawa wa jinsia

BBC iliendesha mjadala wa Global Questions Nairobi ambapo Waafrika wa kawaida walihusika kuuliza jopo la wataalam jinsi wanawake wanaweza kushiriki kikamilifu kushawishi maamuzi na kubadili hali ya baadaye ya bara Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Pengo la usawa wa kijinsia lapungua

Pengo lililopo kati ya wanaume na wanawake linaendelea kuzibika katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni,

 

11 years ago

BBCSwahili

Obama: Nitakabiliana na ukosefu wa usawa

Rais Barrack Obama amesema atachukuwa hatua, hata bila idhini ya bunge la Congress kukabiliana na ukosefu wa usawa Marekani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Umehakikishiwa usawa kiasi gani?

Kwa kutumia kikokotozi hiki cha BBC, unaweza kujua hali ya pengo la usawa wa jinsia nchini mwako, na pale ulipo ukijilinganisha na wengine.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani