SUNFISH: samaki asiye na mkia
WIKI iliyopita tulianza kuangalia sifa za samaki aina ya sunfish. Tukaangalia ukubwa wake na kuelezwa ni mmoja wa samaki wakubwa duniani wenye mifupa. Hata hivyo, pamoja na ukubwa huo, uti...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
Sunfish; samaki mzito kuliko wote
LEO tumzungumzie samaki anayeaminika kuwa na mwili mzito kabisa miongoni mwa samaki wenye mifupa. Samaki huyo anayeitwa sunfish, hujulikana pia kwa jina maarufu la molamola au mola. Rekodi zilizopo zinaonyesha...
10 years ago
Michuzi11 years ago
MichuziTAMASHA LA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA JUNI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziUSIKU WA WATEMBO NDANI YA KIOTA CHA SAMAKI SAMAKI NI RAHA TU
11 years ago
GPLKUMBUKUMBU YA KIFO CHA MANGWEA MEI 28, SAMAKI SAMAKI MOROGORO
11 years ago
Dewji Blog27 May
Kumbukumbu ya Kifo cha Mangwea Juni 28, Samaki Samaki Morogoro
Mangwea enzi za uhai wake.
Na Andrew Chale
MASTAA mbalimbali nchini wakiwemo wanamuziki wanatarajiwa kushiriki kwenye tukio maalum la kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha marehemu Albert Mangwea ‘Ngwair’ , litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Nyumbani Park (Samaki Samaki Spot) , Kihonda Morogoro mjini Juni 28.
Akizungumza na mtando huu , Mratibu Mtendaji wa tamasha hilo, Kareeem Omary ‘KO’ alisema maandalizi ya tukio hilo litakalokuwa la kila mwaka, limepwa jina la ‘Love Concert –...
10 years ago
MichuziSAMAKI SAMAKI KUCHANGIA ELIMU KWA WATOTO YATIMA
Mgahawa wa Samaki Samaki umeanzisha mpango wa kuchangia Elimu kwa watoto yatima kwa kila mtu atakayekula katika migahawa ya samaki samaki itatolewa sh.1000 kwa bei halisi na sio kukatwa mteja.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam ,Afisa Mkuu wa Masoko wa Samaki Samaki,Edward Lusala amesema Samaki Samaki imefikisha miaka nane tangu kuanza kwake na wameona kuna umuhimu wa kuchangia katika kundi la watoto yatima.
Amesema kuwa wanawafundisha...
10 years ago
Michuzi