Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Susan Kiwanga atetea kiti Moro

HATIMAE CHADEMA Mkoa wa Morogoro kimepata safu mpya ya uongozi huku Susan Kiwanga akifanikiwa kutetea nafasi ya uenyekiti. Akisoma matokeo ya uchaguzi huo mbele ya wandishi wa habari, Msimamizi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Ndugulile atetea kiti chake Kigamboni

MGOMBEA Ubunge katika Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Faustine Ndugulile amefanikiwa kutetea kiti chake cha ubunge baada ya kuwabwaga wapinzani wake.

 

10 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU YA Marehemu ULLY HARUN KIWANGA

Bi. Pilly Mpenda na Familia ya watoto wa  marehemu Harun Kiwanga wanapenda kuwakaribisha katika Dua ya kumrehemu mpendwa wao ,Marehemu ULLY HARUN KIWANGA ambaye anatimiza mwaka mmoja toka kufariki kwake,hapo kesho siku ya Jumapili tarehe 15.3.2015 kuanzia saa 5 asubuhi nyumbani kwao Kinondoni Block 41. Karibuni sana

 

10 years ago

Vijimambo

Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akiongelea Kwetu House







Mgope Kiwanga Meneja wa Mauzo na Masoko Azam Media Akitoa Wito Kwa Watu Wengi Kujitokeza Na Faida Watakazopata Baada Ya Kushiriki Shindano La Kwetu House 2015

 

9 years ago

Bongo5

Video mpya ya Belle 9 ‘Burger Movie Selfie’ iliyoshutiwa Moro na director wa Moro kutambulishwa Trace Urban wiki Ijayo

Belle99

Kabla mwaka 2015 haujaisha, Belle 9 amefanikisha kupiga hatua nyingine ya mafanikio ya muziki wake, ambapo wiki ijayo video ya wimbo wake mpya uitwao “Burger Movie Selfie” itaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza na Trace Urban wiki ijayo.

Belle99

What's up Trace Family! Watch "Burger Movie Selfie" by @bellenine starting next week on @TRACE_Urban channel #325 on @DStv_Kenya

— TRACE East Africa (@TRACEEastAfrica) December 2, 2015

Hii itakuwa ni video ya pili ya Belle 9 kwa mwaka huu na toka ameanza...

 

11 years ago

Michuzi

ALVIN NA SUSAN WAMEREMETA


 Alvin akivisha pete Susan kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia. Susan akimvisha pete Alvin kwenye harusi yao iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 2, 2014 kwenye ukumbi wa Noah's uliopo Fairview ma kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila kona ya Dunia.Maharusi wakichum baada kufunga ndoa yao.Maharusi wakitoka nje baada ya ndoa yao kumalizika kuelekea kupata...

 

11 years ago

Dewji Blog

Matembezi ya Susan G. Komen Washington, DC

Mmoja ya waandaaji wa matembezi ya Susan G. Komen ya saratani ya matiti akielezea jambo kabla ya kuanza kwa mbio kwa ajili ya mapambano ya Saratani hiyo hatari kwa akina mama ambayo Team Tanzania imeshiriki kwa mwaka watatu mfululizo. IMG_5172

wanandugu wa Susan G. Komen wakiadhimisha siku ya dada yao kwenye maadhimisho ya mbio za saratani ya matiti zilizofanyika jana Jumamosi May 10, 2014 Washington, DC na mbio zilikuwa za maili 5.

IMG_5180

Mmoja wa wanusurika wa Saratani ya matiti akitoa ushuhuda wake...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA HARUSI YA OSWALD NA SUSAN

Oswald na Susan wakiwa kwenye sherehe ya harusi yao iliyofanyika kwenye ukumbi wa kanisa katoliki la Mt. Peter lililopo Burmingham, Alabama siku ya Jumamosi April 11, 2015.Maharusi na wapambe wao wakiwa meza kuu.Wasimamizi wa maharusi wakijipanga kuwapokea Oswald na Susan wakati walipokua wakiingia ukumbini. Wasimamizi wakiwa tayari kuwapokea maharusi. Wapambe wa maharusi wakiingia ukumbini. Maharusi wakiingia kwa staili ya ghari, ghari. Maharusi wakifanya vitu vyao. Ni cherekuchereku kwa...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

NDOA YA SUSAN NA GEORGE DALLAS, TEXAS


Hapa ndipo palipofungiwa ndoa ya Sandra na George ndani ya Hotel ya Westin iliyopo Dallas, Texas siku ya Jumamosi July 4th, 2015 na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Dunia. Bwana harusi George (kulia0 akiwa na mmoja ya wasimamizi wake wakihakikisha wanacho cheti cha ndoa hii ilikua kabla ya ndoa yake na Sandra haijafungwa. Katikati ni Alvin kaka ya Bi. harusi akimkabidhi Sandra kwa George ikiwa ni ishara ya Alvin kwa niaba ya familia kuridhia dada yake kuolewa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani