Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taarifa rasmi ya Serikali ya Zanzibar kuhusu vifungu vya sheria juu ya uhalali wa Rais kuendelea kuwepo madarakani

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa taarifa rasmi ya Serikali kuhusu vifungu vya sheria   juu ya uhalali wa kuendelea kuwepo madarakani Rais wa Zanzibar.Na Othman Khamis Ame, OMPRSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imewahakikishia Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla kwamba Rais aliyepo madarakani hivi sasa ataendelea kushika madaraka ya Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mpaka pale utaratibu wa Kikatiba na Kisheria wa kumpata Rais...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaandaa sheria kuwalinda watoa taarifa vitendo vya uhalifu-AG Masaju

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.

Mgeni rasmi wa hafla hiyo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wahitimu katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.

Mwakilishi wa Mmoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania, Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya kupokea cheti chake katika hafla ya wanahabari na wahariri waliohitimu mafunzo ya ubobezi katika kuandika habari za dawa za kulevya na uandishi wa habari za maendeleo ya malengo ya milenia wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa vyeti.

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa na Mkuu wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa Tanzania (UNICEF), Dk. Jama Gulaid (kulia) akimpongeza mmoja wa wanahabari kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Taarifa rasmi ya serikali juu ya ajali katika Msikiti wa Makkah - Saudi Arabia, Mahujaji wa Watanzania wote wako Salama.

 Krini ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah ambao uliangukiwa na kusababisha vifo vya mahujaji 107. 


Kufuatia mvua  ilioambatana na upepo mkali na kusababisha kuanguka kwa mashine ya ujenzi wa upanuzi wa eneo la Tawaf ulipo msikiti wa Makkah, msikiti huo umeanguka na kusababisha vifo vya mahujaji.  

Kwa mujibu wa Televisheni ya Saudi Arabia, Saudi TV hadi sasa watu 107 wamefariki dunia na wengine takriban 200 wamejeruhiwa. 

Kufuatia ajali hiyo, Wizara ya Mambo ya Nje na...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU ZIARA YA RAIS WA UJERUMANI HAPA NCHINI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA

                                                  

Simu: 255-22-2114615, 211906-12 Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

                  20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM,  

                                    Tanzania.


 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais...

 

11 years ago

GPL

SIKU RAIS WA ZANZIBAR ALIPONG’OLEWA MADARAKANI

Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sheikh Aboud Jumbe Mwinyi, aling’olewa madarakani baada ya kulazimishwa kujiuzulu katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma akishutumiwa kutaka kuvunja Muungano. Kitendo hiki kimekuwa kikichukuliwa na Wazanzibari kama udhalilishaji mkubwa kwa nchi na heshima yao na msimamo wa...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA LIQUID TELECOM YAJA NA MAJIBU YA WATU KUENDELEA NA SHUGHULI ZA UZALISHAJI LICHA YA KUWEPO KWA VIRUSI VYA CORONA KATIKA BARA LA AFRIKA


Na Mwandishi Wetu, Michuzi Globu ya jamii

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya Liquid Telecom Nic Rudnick amesema kwamba katika kipindi hiki ambacho Dunia inakabiliwa na virusi vya COVID-19 ( Coronavirus) na kusabababisha shughuli nyingi za kiuchumi kusimama katika nchi mbalimbali wao kipaumbele cha cha kampuni hiyo kwa sasa ni kusaidia na kulinda afya, ustawi na usalama wa wafanyikazi, wateja, washirika na umma mkakati wa kudumisha mwendelezo wa biashara katika viwango vyote.

Amesisitiza katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani