Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MWANZA

JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA NDANI YA WIKI HII LLIFANIKIWA KUMKAMATA MTUHUMIWA ALIYETENDA KOSA LA MAUAJI , KUTOROKA NA BAADAE KUKIFICHA KICHWA CHA MAREHEMU KUSIKOJULIKANA BAADA YA KUKIKATA , PIA LINAWASHIKILIA WATU WAWILI KWA TUHUMA ZA MAUAJI YA MTOTO WAO KWA MADAI YA KUIMARISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI..

TUKIO LA KWANZA.
TAREHE 09/03/2020 MAJIRA YA 08:05HRS HUKO MAENEO YA MSITU WA MACHEMBA, KATA YA ISAMILO, WILAYA YA NYAMAGANI, JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTOTO WA MTAANI ASIYEFAHAMIKA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA KUHUSU MKUTANO WA CHADEMA

Mnamo tarehe 10/08/2015 Ofisi ya Mkuu wa polisi wilaya ya Mbeya ilipokea barua toka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayohusu taarifa ya mkutano wa hadhara utakaofanyika tarehe 14/08/2015 katika viwanja vya Ruanda Nzovwe. Lengo la mkutano huo ni mgombea wa raisi kuomba wadhamini.

Leo tarehe 13/08/2015 jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lilikutana na Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo akiwemo mbunge wa Mbeya Mjini na baadhi ya Madiwani katika eneo la Usalama wa Chama hicho...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA UHALIFU KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA


…………………………………………………………………………….

KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU [MTANDAO WA KIJAMII].

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili 1. SOPHIA ELIA MWALUANDA [22] Mfanyabiashara na Mkazi wa Sistila Jijini Mbeya na 2. MPAJI SELEMAN MWINYIMVUA [38] Mkazi wa Manzese Jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kwa kutumia akaunti feki ya “facebook” yenye jina la Mheshimiwa Mama Janeth Magufuli Mke wa Mheshimiwa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA:WANAFUNZI WATATU WA KIKE WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WILAYA YA ILEJE.

Kamanda wa Polisi Mkoani Mbeya -SACP Ahmed Msangi--WANAFUNZI WATATU WA KIKE WANAOSOMA SHULE YA MSINGI ILOMBA AMBAO NI 1. SEVELINA MWILE [11], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE 2. GRACE PATSON [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ITALE NA 3. AGEY SEME [10], MKAZI WA KITONGOJI CHA ILOMBA[W] MBEYA VIJIJINI WOTE WANAFUNZI WA DARASA LA NNE SHULENI HAPO WALIFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI CHA UDONGO WAKATI WAKICHIMBA UDONGO NDANI YA SHIMO.
TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 12.11.2014 MAJIRA YA SAA 12:00HRS...

 

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA



JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LINAWASHIKILIA JUMLA YA WATU SITA KWA MAKOSA YA KUPATIKANA NA ZANA HARAMU ZA UVUVI NA KUPATIKANA NA DAWA ZA KULEVYA (MIRUNGI NA BHANGI).
PIA LINACHUNGUZA KAMA KULIKUWA NA UKIUKWAJI
WA MAADILI YA KAZI WAKATI WA UKAMATAJI WA
WATUHUMIWA HAO.
TUKIO LA KWANZA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA LIMEKUWA LIKIFUATILIA TAARIFA MBALIMBALI NA KUZIFANYIA KAZI KWA LENGO LA KUZUIA UHALIFU .TAREHE 05.03.2020 HUKO MAENEO YA BWIRU
WILAYANI ILEMELA, JESHI LA POLISI...

 

11 years ago

Michuzi

5 years ago

Michuzi

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUTOKA MKOA WA MBEYA



TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI.
KUINGIZA GARI NCHINI BILA KIBALI.
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili BAKARI WALII SEMVUA [31] Mfanyabiashara na mkazi wa Mbagala Jijini Dar -es- Salaam na VICTOR JIMMY BROWN[25] Dereva/fundi, mkazi wa Tabata Segerea Jijini Dar -es- Salaam kwa tuhuma za kuingiza Gari nchini bila kibali.
Watuhumiwa walikamatwa mnamo tarehe 17.03.2020 majira ya saa 19:50 usikuhuko eneo la Mafiati, Kata ya Manga, Tarafa ya...

 

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani