TAARIFA KWA UMMA: RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-QRoZjGRmwLM/UwyI7rCJAuI/AAAAAAAFPc0/TiVGMypWkfQ/s72-c/New+Picture+%25281%2529.png)
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
TAARIFA KWA UMMA
RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI
Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya Serikali kujiridhisha na matokeo ya tathmini ya uzimaji wa mitambo ya utangazaji ya analojia awamu ya kwanza kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-lu7fZBLnWM0/VdzP08A2dNI/AAAAAAAHz_0/jiVDwEF4Sd4/s72-c/tume1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Wadau wa mawasiliano wajadili uzimaji analojia
WATAALAMU, wadau wa mawasiliano na maofisa kutoka nchi 25 wanachama wa Jumuia ya Madola wanakutana jijini hapa kwa siku nne kuanzia jana kujadili harakati za uzimaji wa mitambo ya analojia...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
MichuziKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHATOA TAARIFA KUHUSU AWAMU YA PILI YA KAMPENI YA KUSAMBAZA UELEWA WA RASIMU YA PILI-KAMPENI GOGOTA
Picha/Habari na Dotto Mwaibale
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu...
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mitambo ya analojia yazimwa Tanzania
11 years ago
Michuzi19 Feb
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jopo laagiza mitambo ya analojia iendelee kuzimwa
SERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jopo lataka mitambo ya analojia iendelee kuzimwa
SERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.