Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA KWA UMMA: PDB YAHAMIA OFISI MPYA JENGO LA AIRTEL

Tunapenda kuwataarifu wadau wetu kuwa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimehama kutoka ghorofa ya sita jengo la Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kwenda ghorofa ya kwanza jengo la Airtel, makutano ya Barabara za Ally Hassan Mwinyi na Rashid Kawawa, eneo la Morocco, Dar es Salaam.
Wasiliana nasi kwa anuani zetu mpya ambazo ni:-Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi, S.L.P 3815,Dar es Salaam.Simu: +255 22 292...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri Mwakyembe azitaka ofisi za Umma kutoa taarifa kwa wanahabari

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akipokea kipeperushi cha majukumu ya Uongozi wa Arusha Press Club mara baada ya kumaliza kikao na Uongozi huo kuhusu namna bora ya kutekeleza majukumu yao ya kihabari leo Jijini Dodoma.Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza na uongozi wa Arusha Press Club kuhusu namna bora ya kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia Sheria na kanuni za Habari leo Jijini Dodoma.Katibu Mkuu Wizara...

 

10 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN yaadhimisha siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa na kutoa matokeo ya utafiti wa upatikanaji wa taarifa kwenye ofisi za umma nchini Tanzania‏‎

Mkurugenzi  wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano wao uliofanyika jana kwenye ofisi za MISA Tanzania  zilizopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew Marawiti. Misa-Tanzania-Media Institute of...

 

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

9 years ago

Michuzi

MISA TANZANIA YASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA NA KUZINDUA UTAFITI WA UPATIKANAJI WA TAARIFA KWENYE OFISI ZA UMMA NCHINI TANZANIA

Afisa utafiti na maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa(wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.
Mwenyekiti msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MABADILIKO YA ANUANI YA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma inapenda kuwafahamisha wadau wake kuwa anuani yake imebadilika hivyo kuanzia sasa mawasiliano yafanyike kwa kutumia anuani ifuatayo;
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA UTUMISHI HOUSE 8 BARABARA YA KIVUKONI 11404 DAR ES SALAAM au PRESIDENT’S OFFICE, PUBLIC SERVICE MANAGEMENT UTUMISHI HOUSE 8 KIVUKONI ROAD 11404 DAR ES SALAAM
Anuani hii inachukua nafasi ya Sanduku la Posta 2483, Dar es salaam. Hivyo, mawasiliano yote yazingatie...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: KUHAKIKI TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Tunawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Ambako daftari la mpiga kura limebandikwa. (Display)  NA.MIKOATAREHE YA KUANZATAREHE YA KUMALIZA1Njombe, Iringa,  Mtwara, Lindi, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Mbeya, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Kagera, Simiyu, Shinyanga, Geita, Mwanza, Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Morogoro.
07/08/201511/08/20152Pwani na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani