Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAARIFA MPYA ZA CORONA TANZANIA: WAPYA 14, DAR 13, ARUSHA MMOJA, JUMLA WAFIKIA 46 😭

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAGONJWA WA CORONA TANZANIA WAFIKIA 147


Idadi ya wagonjwa wa Corona Tanzania imeongezeka nakufikia  147 baada ya wagonjwa wapya 53 kukutwa na virusi hivyo .
Akiongea na vyombo vya habari leo Ijumaa April 17,2020, Waziri  wa Afya Ummy Mwalimu amesema wagonjwa wote hao ni watanzania ambapo 38 ni kutoka Dar es Salaam,10 Zanzibar,Kilimanjaro 1,Mwanza 1,Pwani 1,Lindi 1,na Kagera 1

Waziri Ummy amesema mgonjwa mmoja amefariki dunia na hivyo kufanya idadi ya waliofariki hadi sasa kufika 05  na waliopona ni 11. 


 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Walioambukizwa Tanzania wafikia 254

Wizara ya afya nchini Tanzania imethibitisha kuwa watu 84 wapya wameambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi ya wagonjwa wa Covid-19 kufikia 257.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA: POLISI WAKAMATA BUNDUKI AINA YA SMG NA JUMLA YA RISASI 59 PAMOJA NA WATUHUMIWA KATIKA MATUKIO TOFAUTI JIJINI DAR

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu saba kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya uhalifu ikiwa ni pamoja na unyang’anyi wa kutumia silaha. Watuhumiwa wamekamakwa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam kufuatia oparesheni kali inayoendelea ya kuwasaka wahalifu wa makosa mbalimbali.
Katika tukio la kwanza mnamo tarehe 03/06/2015 majira saa 08:00HRS  maeneo ya Tabata Kinyerezi mtaa wa Kibaga askari wa kikosi kazi (TASK FORCE) walimkamata mtuhumiwa  HEMED S/O...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani